Askofu Bagonza: Tujifanye kuuliza - Kanisa ni mali ya mtu? Kama kakosea yeye, kwanini kanisa lifungwe?

Askofu Bagonza: Tujifanye kuuliza - Kanisa ni mali ya mtu? Kama kakosea yeye, kwanini kanisa lifungwe?

Kilichofanyika ni kujidhalilisha kwani maamuzi yamekuwa ni zimamoto badala ya kanuni, sheria na taratibu za kufungia hazikufuatwa kabisa!
 
Hizo zote ni taasisi kongwe na zenye wamiliki ila zimekua na kuenea ndio maana hujui kama zina wamiliki sasa jua tuu, roman katoliki ni taasisi ya mtume petro ndiye muasisi na baadae limekua na kukomaa hadi lika sambaa dunia nzima likawa kubwa ,

Na KKKT mmililiki nq muasisi ni martin luther nayo ni taasisi kongwe imekuwa na kukomaa na ikasambaa dunia nzima

Hivyo hataka ufufuo na uzima ni tasisi nayo itakuwa na kukomaa na itakapo vuka mipaka ya nchi na kuwa kubwa sana kwa miongo kadhaa ndipo wao wa zama hizo watakapo dhani ni kanisa lisilo na mmiliki kama unavyo amini wewe kwa KkKT na Roman katholic
Hivi unachoandika unakisoma na kujisikiliza?
 
Tujiulize vile vile..
Sadaka zile zinaenda kwa nani?
Naomba kukumbusha..makanisa yote yenye misingi imara na yasiyo ya ulaghai, mara nyingi sana waumini wake wanamiliki utajiri kuliko viongozi wao ndani ya nchi..rejea cct, tec nk..
Kwenye hili dhehebu la gwajima nani tajiri kumzidi?
Anyway sadaka hz zinaenda wapi?
Out of context idiot
 
Back
Top Bottom