Askofu Bagonza: Tujifanye kuuliza - Kanisa ni mali ya mtu? Kama kakosea yeye, kwanini kanisa lifungwe?

Askofu Bagonza: Tujifanye kuuliza - Kanisa ni mali ya mtu? Kama kakosea yeye, kwanini kanisa lifungwe?

Tujiulize vile vile..
Sadaka zile zinaenda kwa nani?
Naomba kukumbusha..makanisa yote yenye misingi imara na yasiyo ya ulaghai, mara nyingi sana waumini wake wanamiliki utajiri kuliko viongozi wao ndani ya nchi..rejea cct, tec nk..
Kwenye hili dhehebu la gwajima nani tajiri kumzidi?
Anyway sadaka hz zinaenda wapi?
Dhehebu la mwamposa
 
Waislam mnachuki sana na ukristo tangu mkubali kuongozwa na mwanamke ,kama kuua kwenye dini yenu ni sahihi wengine kwa dini yao ni haramu
Achaa udini?elewa mada mezani na ujadili kama mtu alie pevuka akili greater thinker....don't think cheep
 
Mimi nina allergy na matango pori yako.
huyo fuska ndio hivyo hivyo hujifanya wananacheza michezo ya kimama mama na waamini wake matokeo yake anawapiga mimba na kisha anatelekeza watoto 🐒
 
Mimi siyo mlaji wa uzushi. Nina ufahamu na macho,lazima nione. Hebu namapema mimi siyo mteja wako🤣
ukweli wa mambo ya msingi ninayoyaeleza humu jukwani ni kwa maslahi ya wana familia ya jf wote 🐒
 
Sio kwamba huyu askofu haielewi, hapana. Anaelewa vizuri tu ila ana hila zinemjaa huyu baba dhidi ya mtawala. Hamtaki hata kidogo. Wazungu wanasema, "When people are determined to find a fault, they can even accuse a snail of over-speeding"
 
Huyu Bagonza hanaga akili,,sheria ziko wazi,Kuna sheria ya kusajili na kufuta pia,,
Nchi haiongozwi kwa sheria za Bagonza
When people are determined to find a fault, they can even accuse a snail of over-speeding.
 
Back
Top Bottom