Askofu Bagonza: Tume Huru, Mgombea Huru na kumbukumbu ya Kuzaliwa TANU

Askofu Bagonza: Tume Huru, Mgombea Huru na kumbukumbu ya Kuzaliwa TANU

Nimekuelewa baba Askofu....Wanasiasa wa upinzani kila siku wanalia na tume huru lakini walikuwa hawana mbinu/mikakati ya kufanya ili kuwashawishi wananchi jinsi ya kuweza kuipata hiyo tume huru,hapa ndipo tunapoana dhamira za wapinzani si za kweli isipokua sometimes wanatafuta kiki tu na kuendekeza tamaa zao binafsi...naona katika hili baba Askofu utakwenda kuwazindua watanzania kwenye kudai mambo yao ya msingi Pasi na kuwaingiza wanasiasa uchwara..

7/7 nitakuwepo kwenye maandamano ya amani ili kuidai tume huru ya uchaguzi kikubwa tujue wapi tunakutania,na hata kama hili halikutokea lakini askofu ameonesha njia katika hili, To dare is to do.

#Kura yangu ndo maendeleo yangu.[emoji110][emoji110]
 
Hyu ndy anaetendea haki zile nguzo kuu za ustaarabu!Elimu (education),Religion (dini) na Siasa(politics).Inashangaza sana kwamba mtu kuwa kiongozi wa dini anafikili vitu hvyo vingne viwili havimuhusu..Askofu huyu ni tunu ya Taifa ila kwasabb ya u roho na u binafsi wetu hyu kuna baadhi yetu watamchukia.
 
Yaani CCM kuongoza milele kwa kuiba kura kama kule Zanzibar ndio amani? Yaani hawa watawala ni kama wameroga. Mnaamini kabisa kuwa bila wao eti nchi hii itakosa amani. Mbona kuna amani Zambia, Uganda, Malawi, Swaziland, Botswana... Kuna CCM na Magufuli huko pia? Acheni ushamba wenu.
Hivi bwashee serikali ya jamuhuri ya muungano wapewe akina Mbowe,Heche,Mnyika,Mdee kuongoza nchi.hawa ndo wapewe serikali kutest?acheni masihara na uhai w nchi.

CCM ikiachia nchi basi chama kitakacho shika nchi viongozi wake watatoka CCM.ifikapo 2090.
 
Wakina Daniel waliwakemea sana kina Nebukadreza na Manabii wengi tu, walikemea matendo maovu yaliyokuwa yanafanywa na watawala.

Baada ya hapo walitengeneza uasi au maandamano?
Tupe mfano wa mmoja wao.
 
Kuna wana CCM walikua mbele kuunga mkono maandamano ya Waamerika juu ya kudai haki mtu mweusi kuishi, lakini kwenye hili la kudai haki ya mtanzania kuchangua mtu wanaemtaka wanapiga wanasema ni kuleta vurugu,
Unawezaje kutetea mambo ambayo hata kwako uyafanyi.
Tumeshuhudia Mara nyingi kwenye uchanguzi wananchi wanachagua huyu anatangazwa mwingine na kufikia kuwapiga na kuwatia jela raia waliopiga kura kwa sababu tu ya kutokuwepo kwa tume huru ya uchanguzi.
Sasa Je, nyie wana CCM mnaojiita wazalendo kuna utofauti gani na Yule askari aliyemua mmarekani mweusi?
Kama uliunga maandamano ya wamarekani kwa nini maandamano ya kudai tume huru unayaita ni haramu?
 
Wapumbavu fulani hivi, wanajua kuwa ushindi wao huwa hautokani na kura halali ndo maana wanatoka mipovu humu.
 
Nambwebwe zote unakuta ni MTU wa system wanaishia kuumia wananchi dah, umzaniaye kumbe siye.
Lesson nilipata kwa yule babu mfugaji mwenye bleach LA kikongo.
Siasa inawenyewe.
Hakuna siasa hapo. Au umeambiwa kuwa ana mpango wakugombea popote?
 
Hivi bwashee serikali ya jamuhuri ya muungano wapewe akina Mbowe,Heche,Mnyika,Mdee kuongoza nchi.hawa ndo wapewe serikali kutest?acheni masihara na uhai w nchi.

CCM ikiachia nchi basi chama kitakacho shika nchi viongozi wake watatoka CCM.ifikapo 2090.
Kwani hao wana tofauti gani na viongozi wa sasa kiranja Magu, hawana sifa za kuwa viongozi?
 
Kwani siasa ni mpaka ugombee, embu nipe tafsiri ya siasa unavyoifahamu boss?
Unafananishaje tukio la Lowasa na hili? Lowasa alijinadi katika majukwaa ya kisiasa kupitia chama cha siasa na alikuwa ni mwanasiasa. Huyo askofu umemsikia kupitia jukwaa gani na chama gani?
 
Achakue fomu agombee tujue moja.
Askofu baada ya kuhubiri amani nahubiri kuhamasisha fujo.

Hakuna popote alipohamasisha fujo, bali ametaka maandamano ya amani. Naona mlikuwa nmmejipanga kunajisi box la kura,kwa sasa askofu anaharibu deal ya siasa chafu.
 
Unafananishaje tukio la Lowasa na hili? Lowasa alijinadi katika majukwaa ya kisiasa kupitia chama cha siasa na alikuwa ni mwanasiasa. Huyo askofu umemsikia kupitia jukwaa gani na chama gani?
Jamiiforum platform
 
Back
Top Bottom