Askofu Bagonza: Tume Huru, Mgombea Huru na kumbukumbu ya Kuzaliwa TANU

Askofu Bagonza: Tume Huru, Mgombea Huru na kumbukumbu ya Kuzaliwa TANU

Safi kabisa baba askofu,sio Kama maaskofu uchwara.
IMG_20200620_182608.jpg
 
Ni kweli...wajinga siyo rahisi kumuelewa..watamuunga mkono...watadhani Yuko sahihi..werevu watamuelewa kuwa huyu anatumika kuleta machafuko ndani ya nchi...uzuri ni kuwa Kama wapo watakaoandamana hawatazidi Mia moja
Mnaogopa maandamano ya amani? Badilisheni katiba muondoe hiyo ruksa!
 
Aise wewe jamaa unabwabwaja mno.hamuishi visingizio eti,,,,
mbona miaka yote uchaguzi unafanyika kiroho safi na kila kitu kinakaa sawa iweje leo hii muanze visingizio.

Nasema hivi, hapa sio suala la miaka yote, na hata kama ni suala la miaka yote, ni lini kilio cha tume huru ya uchaguzi kimewahi kukoma? Nitashangaa sana chama chochote cha kweli cha upinzani, kukubali kushiriki uchaguzi huu bila tume huru ya uchaguzi. Kilichokuwa kinafanyika kwenye chaguzi za marudio tumekiona vyema. Vyama vya upinzani vya kweli vinaweza kushiriki, ila vijue fika wapiga kura wengi hasa wa upinzani, hatuna imani na box la kura chini ya tume hii. Washiriki ili kubariki uchaguzi wa hujuma, lakini wapiga kura tunaojitambua tumeamua kuchukua hatua.
 
Napinga kususia uchaguzi.ntafanya maombi usiku na mchana wamiliki wa vyama vya upinzani wasigomee uchaguzi.
 
Achakue fomu agombee tujue moja.
Askofu baada ya kuhubiri amani nahubiri kuhamasisha fujo.
Hiyo ni kazi ya Bwana

Watumishi wa Bwana, Mchungaji Martin King, Ralph Abenathy na wengine wakiwa na watoto wao na wake zao wameingia mtaani kudai haki za kiraia, civil rights, za watu weusi wa Marekani

selma_page_topper_1280.jpg
 
Mtumishi wa Bwana, Martin King, akiwa amekomaa mbele ya polisi dhalimu wa serikali ya Kimarekani

mlk-chicago.jpeg
 
Mtumishi wa Bwana, Martin King, akizolewa mzega mzega na polisi wa serikali dhalimu

mlk300.jpg
 
Mtumishi wa Bwana, Mchungaji Martin King, akiwa kazini

martin_luther_king_jr._montgomery_arrest_1958.jpg
 
Mchungaji wa Kondoo wa Bwana, Martin King, akikataa kurudi nyumba mbele ya jeshi la serikali dhalimu

4549.jpg
 
Askofu ameamua kufuata nyayo za Mange Kimambi heheheee
Sikumbuki kama kuna sehemu Yesu christo alihamasisha maandamono!
 
Napinga kususia uchaguzi.ntafanya maombi usiku na mchana wamiliki wa vyama vya upinzani wasigomee uchaguzi.

Usipoteze muda wako kusali maana vyama tayari vimekubali kushiriki huo uhuni. Tatizo liko kwetu sisi wapiga kura tunaojitambua. Hatuko tayari kushiriki uchaguzi wa kihuni chini ya hii tume isiyojua wajibu wake. Huyo aliyekuwa anaagiza ccm watangazwe washindi ili akae zaidi madarakani, atabeba madhara ya uhuni wake.
 
AFRIKA KUSINI

ASKOFU MKUU, Mfaniseni Sigisbert Ndwandwe, akiongoza watumishi wa Bwana walioingia mtaani kupinga udhalimu wa kaburu wa Afrika Kusini

field_image_Sigi_Desmond_Simeon-1024x796-768x597.jpg
 
Mungu ambariki sn.

Wengine ni matumbo yao tu wanawaza.Wakina Gwajiboy
 
Usipoteze muda wako kusali maana vyama tayari vimekubali kushiriki huo uhuni. Tatizo liko kwetu sisi wapiga kura tunaojitambua. Hatuko tayari kushiriki uchaguzi wa kihuni chini ya hii tume isiyojua wajibu wake. Huyo aliyekuwa anaagiza ccm watangazwe washindi ili akae zaidi madarakani, atabeba madhara ya uhuni wake.
Pepo mchafu wa kugomea uchaguzi huu ashindwe na atepete aishiwe pumzi.
Mungu awafubaze misimamamo yenu watu wachache kama wewe mnaofikiria kugomea uchaguzi wa mwaka huu.
eemen
 
Back
Top Bottom