Huna akili. Na hutokaa upate akili.Achakue fomu agombee tujue moja.
Askofu baada ya kuhubiri amani nahubiri kuhamasisha fujo.
Huna akili. Na hutokaa upate akili.Achakue fomu agombee tujue moja.
Askofu baada ya kuhubiri amani nahubiri kuhamasisha fujo.
Akili ndogo utaijua tuAchakue fomu agombee tujue moja.
Askofu baada ya kuhubiri amani nahubiri kuhamasisha fujo.
Acha ushamba ww unajua katika mwili wa binadamu kuna sehemu ata ukiisafisha vipi baada ya muda kidogo inanuka tena iyo tabia unayo ww sasa...apo kaanzisha fujo gani na kasema maandamano ya amani acha ushambaa kabisa kwenye mambo ya maendeleoAchakue fomu agombee tujue moja.
Askofu baada ya kuhubiri amani nahubiri kuhamasisha fujo.
Chadema mnahasira sana.Acha ushamba ww unajua katika mwili wa binadamu kuna sehemu ata ukiisafisha vipi baada ya muda kidogo inanuka tena iyo tabia unayo ww sasa...apo kaanzisha fujo gani na kasema maandamano ya amani acha ushambaa kabisa kwenye mambo ya maendeleo
Tanzania hatutaki vurugu zenu.mtuache na amani yetu.Huna akili. Na hutokaa upate akili.
Hakuna na wala haitotokea mtu yeyote kunajisi sanduku la kura.uchaguzi wa mwaka huu utakuwa huru na wa haki.hatuitaji maandamano yenu ya virugu.Hakuna popote alipohamasisha fujo, bali ametaka maandamano ya amani. Naona mlikuwa nmmejipanga kunajisi box la kura,kwa sasa askofu anaharibu deal ya siasa chafu.
Hakuna na wala haitotokea mtu yeyote kunajisi sanduku la kura.uchaguzi wa mwaka huu utakuwa huru na wa haki.hatuitaji maandamano yenu ya virugu.
😡😡😡😡😡😡😡😡😡Achakue fomu agombee tujue moja.
Askofu baada ya kuhubiri amani nahubiri kuhamasisha fujo.
Kususia uchaguzi kwa haya masiku machache yaliyobakia si sawa.hasa kwa mustakabali wa taifa.kikubwa ni mjipange kufanya kampeni zaidi ili muongeze wabunge na madiwani.Narudia tena, Magufuli sio muumini wa box la kura na hatakaa aliheshimu, na nitashangaa mpinzani yoyote atakayeshiriki uchaguzi huu bila uwepo wa tume huru ya uchaguzi. Ni lazima tususie uchaguzi huu wa kihuni, na kabla ya kufikia huko, ni lazima tuanike huu uhuni wote hadharani.
Sawa...wewe endelea na unachoamini na sisi tunaendelea na tunachoamini...Yaani CCM kuongoza milele kwa kuiba kura kama kule Zanzibar ndio amani? Yaani hawa watawala ni kama wameroga. Mnaamini kabisa kuwa bila wao eti nchi hii itakosa amani. Mbona kuna amani Zambia, Uganda, Malawi, Swaziland, Botswana... Kuna CCM na Magufuli huko pia? Acheni ushamba wenu.
Kususia uchaguzi kwa haya masiku machache yaliyobakia si sawa.hasa kwa mustakabali wa taifa.kikubwa ni mjipange kufanya kampeni zaidi ili muongeze wabunge na madiwani.
kwani mbona Magufuli huyuhuyu si ndo aligombea uchaguzi uliopita?mbona uchaguzi ulikua huru na wa haki,na wapimzania walipata zaidi ya wabunge 70 bungeni.
Aise wewe jamaa unabwabwaja mno.hamuishi visingizio eti,,,,Sijakosea nilichokuambia, mustakabali wa taifa sio kwenda kusimama kwenye mstari wa kura ili kubariki uchaguzi wa kihuni. Uchaguzi wa 2015 Magufuli hakuwa rais. Hakuna mpinzani wa kweli anayehataji viti vya mbeleko, tunahitaji haki hata tusipopata kiti kimoja. Hivyo viti vya mbeleko mpeni Mbatia na Lipumba wao ndio uhaba wa ushawishi.
Babu,mtukufu Askofu Bagonza(mwenye upendo tafasili rahisi ya jina hili)Hivi bwashee serikali ya jamuhuri ya muungano wapewe akina Mbowe,Heche,Mnyika,Mdee kuongoza nchi.hawa ndo wapewe serikali kutest?acheni masihara na uhai w nchi.
CCM ikiachia nchi basi chama kitakacho shika nchi viongozi wake watatoka CCM.ifikapo 2090.
Amehamasisha fujo mahali gani?Achakue fomu agombee tujue moja.
Askofu baada ya kuhubiri amani nahubiri kuhamasisha fujo.
.Huyu atakipata anachokitafuta,naona anapima kina cha maji kwa mguu
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mmmmmm! Yaleyale ya Askofu Gwajima kila akiliamshe dude Chadema mmasema Mungu mbariki baba Askofu, alipoanza kuwabadilikia mkaanza kumporomoshea matusi.Mungu mbariki Baba Askofu
Wapi kahamasisha fujo wewe mburula??Achakue fomu agombee tujue moja.
Askofu baada ya kuhubiri amani nahubiri kuhamasisha fujo.
Sinaga muda wa kujibu nyumbu za ufipa.Wapi kahamasisha fujo wewe mburula??