Junior Nicky
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 607
- 594
Hivi bwashee serikali ya jamuhuri ya muungano wapewe akina Mbowe,Heche,Mnyika,Mdee kuongoza nchi.hawa ndo wapewe serikali kutest?acheni masihara na uhai w nchi.Yaani CCM kuongoza milele kwa kuiba kura kama kule Zanzibar ndio amani? Yaani hawa watawala ni kama wameroga. Mnaamini kabisa kuwa bila wao eti nchi hii itakosa amani. Mbona kuna amani Zambia, Uganda, Malawi, Swaziland, Botswana... Kuna CCM na Magufuli huko pia? Acheni ushamba wenu.
kila siku mnadhuru watu lakini watu hawarudi nyuma na kamwe hawatarudi.Huyu atakipata anachokitafuta,naona anapima kina cha maji kwa mguu
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Wakina Daniel waliwakemea sana kina Nebukadreza na Manabii wengi tu, walikemea matendo maovu yaliyokuwa yanafanywa na watawala.
Kwahiyo kuhamasisha amani kwa Watanzania kuvaa nguo nyeupe kwa muono wako unaona no fujo? CCM aliyewalaani alishakufa.Huyu atakipata anachokitafuta,naona anapima kina cha maji kwa mguu
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Kwako unaona kuvaa nguo nyeupe ni uasi eti? Jinga kweli ninyi UVCCM.Baada ya hapo walitengeneza uasi au maandamano?
Tupefano wa mmoja wao.
Wapumbavu fulani hivi, wanajua kuwa ushindi wao huwa hautokani na kura halali ndo maana wanatoka mipovu humu.Kuna wana CCM walikua mbele kuunga mkono maandamano ya Waamerika juu ya kudai haki mtu mweusi kuishi, lakini kwenye hili la kudai haki ya mtanzania kuchangua mtu wanaemtaka wanapiga wanasema ni kuleta vurugu,
Unawezaje kutetea mambo ambayo hata kwako uyafanyi.
Tumeshuhudia Mara nyingi kwenye uchanguzi wananchi wanachagua huyu anatangazwa mwingine na kufikia kuwapiga na kuwatia jela raia waliopiga kura kwa sababu tu ya kutokuwepo kwa tume huru ya uchanguzi.
Sasa Je, nyie wana CCM mnaojiita wazalendo kuna utofauti gani na Yule askari aliyemua mmarekani mweusi?
Kama uliunga maandamano ya wamarekani kwa nini maandamano ya kudai tume huru unayaita ni haramu?
Hakuna siasa hapo. Au umeambiwa kuwa ana mpango wakugombea popote?Nambwebwe zote unakuta ni MTU wa system wanaishia kuumia wananchi dah, umzaniaye kumbe siye.
Lesson nilipata kwa yule babu mfugaji mwenye bleach LA kikongo.
Siasa inawenyewe.
Tume huru ni sawa na COVID-19 kwa wanalumumba.Je hiyo inazuia uwepo wa Tume huru inayotoa haki kwa wote ?!. Hofu ya nini juu ya tume huru ?!
Kwa hiyo umejibu niniKwako unaona kuvaa nguo nyeupe ni uasi eti? Jinga kweli ninyi UVCCM.
Watu waliozoea dhulma utawajua likizungumzwa swala haki. Lakini pia kosa ni la WaTz kuchukulia poa kila jambo, hata kama linaumiza jamiiTume huru ni sawa na COVID-19 kwa wanalumumba.
Kwani siasa ni mpaka ugombee, embu nipe tafsiri ya siasa unavyoifahamu boss?Hakuna siasa hapo. Au umeambiwa kuwa ana mpango wakugombea popote?
Kwani hao wana tofauti gani na viongozi wa sasa kiranja Magu, hawana sifa za kuwa viongozi?Hivi bwashee serikali ya jamuhuri ya muungano wapewe akina Mbowe,Heche,Mnyika,Mdee kuongoza nchi.hawa ndo wapewe serikali kutest?acheni masihara na uhai w nchi.
CCM ikiachia nchi basi chama kitakacho shika nchi viongozi wake watatoka CCM.ifikapo 2090.
Mara nyingi watu wenye ubongo kama wako huwa hampendi kuambiwa ukweli.Mnajishukushuku tu na kuamini mnatukanwa😂😂😂😂Achakue fomu agombee tujue moja.
Askofu baada ya kuhubiri amani nahubiri kuhamasisha fujo.
Hana haki yakusema? kwa mtazamo wako kuna kitu kasema isivyo sawa? au ulitaka ataje madaraja na ushindi wa kishindoHuyu atakipata anachokitafuta,naona anapima kina cha maji kwa mguu
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Unafananishaje tukio la Lowasa na hili? Lowasa alijinadi katika majukwaa ya kisiasa kupitia chama cha siasa na alikuwa ni mwanasiasa. Huyo askofu umemsikia kupitia jukwaa gani na chama gani?Kwani siasa ni mpaka ugombee, embu nipe tafsiri ya siasa unavyoifahamu boss?
Achakue fomu agombee tujue moja.
Askofu baada ya kuhubiri amani nahubiri kuhamasisha fujo.
Jamiiforum platformUnafananishaje tukio la Lowasa na hili? Lowasa alijinadi katika majukwaa ya kisiasa kupitia chama cha siasa na alikuwa ni mwanasiasa. Huyo askofu umemsikia kupitia jukwaa gani na chama gani?