Askofu Bagonza: Tume Huru, Mgombea Huru na kumbukumbu ya Kuzaliwa TANU

Achakue fomu agombee tujue moja.
Askofu baada ya kuhubiri amani nahubiri kuhamasisha fujo.
Acha ushamba ww unajua katika mwili wa binadamu kuna sehemu ata ukiisafisha vipi baada ya muda kidogo inanuka tena iyo tabia unayo ww sasa...apo kaanzisha fujo gani na kasema maandamano ya amani acha ushambaa kabisa kwenye mambo ya maendeleo
 
Safi sana askofu kwa kusimamia haki, Mwenyezi Mungu atakulipa..
 
Askofu phd sio wengine makanjanja wakifinyiwa bahasha ya kaki wanaunga juhudi
 
Acha ushamba ww unajua katika mwili wa binadamu kuna sehemu ata ukiisafisha vipi baada ya muda kidogo inanuka tena iyo tabia unayo ww sasa...apo kaanzisha fujo gani na kasema maandamano ya amani acha ushambaa kabisa kwenye mambo ya maendeleo
Chadema mnahasira sana.
haya bwashee anzeni maandamano.ila mwambieni awepo mbele kwenye maandamano.
 
Hakuna popote alipohamasisha fujo, bali ametaka maandamano ya amani. Naona mlikuwa nmmejipanga kunajisi box la kura,kwa sasa askofu anaharibu deal ya siasa chafu.
Hakuna na wala haitotokea mtu yeyote kunajisi sanduku la kura.uchaguzi wa mwaka huu utakuwa huru na wa haki.hatuitaji maandamano yenu ya virugu.
 
Hakuna na wala haitotokea mtu yeyote kunajisi sanduku la kura.uchaguzi wa mwaka huu utakuwa huru na wa haki.hatuitaji maandamano yenu ya virugu.

Narudia tena, Magufuli sio muumini wa box la kura na hatakaa aliheshimu, na nitashangaa mpinzani yoyote atakayeshiriki uchaguzi huu bila uwepo wa tume huru ya uchaguzi. Ni lazima tususie uchaguzi huu wa kihuni, na kabla ya kufikia huko, ni lazima tuanike huu uhuni wote hadharani.
 
Kususia uchaguzi kwa haya masiku machache yaliyobakia si sawa.hasa kwa mustakabali wa taifa.kikubwa ni mjipange kufanya kampeni zaidi ili muongeze wabunge na madiwani.
kwani mbona Magufuli huyuhuyu si ndo aligombea uchaguzi uliopita?mbona uchaguzi ulikua huru na wa haki,na wapimzania walipata zaidi ya wabunge 70 bungeni.
 
Sawa...wewe endelea na unachoamini na sisi tunaendelea na tunachoamini...
 

Sijakosea nilichokuambia, mustakabali wa taifa sio kwenda kusimama kwenye mstari wa kura ili kubariki uchaguzi wa kihuni. Uchaguzi wa 2015 Magufuli hakuwa rais. Hakuna mpinzani wa kweli anayehataji viti vya mbeleko, tunahitaji haki hata tusipopata kiti kimoja. Hivyo viti vya mbeleko mpeni Mbatia na Lipumba wao ndio uhaba wa ushawishi.
 
Aise wewe jamaa unabwabwaja mno.hamuishi visingizio eti,,,,
mbona miaka yote uchaguzi unafanyika kiroho safi na kila kitu kinakaa sawa iweje leo hii muanze visingizio.
 
Babu,mtukufu Askofu Bagonza(mwenye upendo tafasili rahisi ya jina hili)
Tumsifu yesu kristu,bwana yesu apewe sifa babu yangu mtukufu.
Kwanza na kushukuru kwa nondo zako ambazo umekua ukizishusha hapa jamvini,na nakili kama mjukuu wako nimekua najifunza mengi pitia makala zako,mungu akupe afya njema babu yangu mtukufu.
Sasa babu nina ombi kama ikikupendeza utuletehe andiko hasa lihusio uhuru wa tanganyika kama ulivyobainisha katika andiko lako hapo juu.
Lengo babu nataka kujua au kujifunza, kwamba pamoja na kusema tulipata uhuru bila kumwaga damu hii imekaaje babu mtukufu?
Naamanisha kwa upeo wangu mdogo babu hata kabla ya uhuru wa tanganyika chini ya mwalim nyerere bado fikra zangu zinaniambia kupitia machief walipigana na damu ilimwagika sana babu na mfano chief mkwawa,japo nakubali babu bado walikuepo machief wasaliti hata kuwakabidhi binadam wenzao kwa wakoloni.
Sasa babu yangu mtukufu swali langu hivi tusemapo kwamba tanganyika ilipata uhuru bila kumwa damu huwa tunaesabu kuanzia kipindi cha mw nyerere au nikuanzia kipindi kabla ya mwalim?
Asante babu yangu mtukufuASKOF BAGONZA(mwenye upendo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…