Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,222
Makosa mawili hayawezi kuhalalisha kosa likawa sio kosa! Kanisa lisimamie mkataba na wale lililowasomesha!
We Pimbi tumia hata akili za mbuzi kuvukia barabara kuelewa .Mwisho wa dunia viongozi wa kiimani kwa hivi sasa wamegubikwa na kashfa nyingi sana za kiuzinzi ujasiri wa kusimama na kukosoa sijui wanaupata wapi!
Jadili maada iliyopo mbele yako,na hayo mengine yaanzishie uzi tuchangie.Mwisho wa dunia viongozi wa kiimani kwa hivi sasa wamegubikwa na kashfa nyingi sana za kiuzinzi ujasiri wa kusimama na kukosoa sijui wanaupata wapi!
Lakini umemsoma na kumwelewa vizuri daktari,maana inaonekana kuwa upo nje ya uzi husika.hivi tukiweka Lockdown hata kwa miezi miwili hawa wakina Bagoza watakula nini
MITANO TENA!
KWANI HAKUNA PRIMARY SCHOOLS ZA BINAFSI? KWANI NYIE CCM AKILI MLIPELEKA WAPI?Serikali inahusika na elimu ya mtu kwa namna moja au nyingine.
Kwani ulipokuwa primary school ulisomeshwa na kanisa? , au tunafikiri elimu ni ile ya juu peke yake?
KWANI MKOPO HUWEZI KULIPA UKIWA UNAFANYA KWENYE SEKTA BINAFSI? MKOPO UNALIPA HATA KAMA UNAFANYA KAZI SEKTA BINAFSI. SIYO KWAMBA UKIKOPA BODI YA MIKOP[O UTALIPA UKIFANYA SERIKALINI TU BALI POPOTE.Mimi nadhani tunalo tatizo la tafsiri. Badala ya kuhukumu tungemuuliza alikuwa na maana gani. Mimi nilivyomuelewa ni kwamba kama amesomeshwa na serikali anapokuwa na mawazo ya kuondoka arudishe kwanza gharama maana huo mi mkopo suo hisani halafu aondoke.
Vinginevyo hizo Kampuni binafsi zinazomchukua ziingie gharama ya kurudisha hilo deni waendelee naye vinginevyo wafungiwe hadi wamerudisha.
Ingekuwa kusomeshwa na serikali mi hisani suo mkopo basi huo ujumbe wa Askofu unasimama vinginevyo amepotoka kidogo maana hata kanisa likimkopesha mtu lazima arudishe mkopo.
😆😆😆Kila mtu ashinde mechi zake... tutaelewana!
Mkuu, deni la bodi ya mkopo linalipwa na mkopeshwaji na si muajiri. Hata daktari akihamia private bado anaendelea kulipa. Labda kama una maanisha madaktari walioajiriwa serikalini hawalipi wao huo mkopo.Mimi nadhani tunalo tatizo la tafsiri. Badala ya kuhukumu tungemuuliza alikuwa na maana gani. Mimi nilivyomuelewa ni kwamba kama amesomeshwa na serikali anapokuwa na mawazo ya kuondoka arudishe kwanza gharama maana huo mi mkopo suo hisani halafu aondoke.
Vinginevyo hizo Kampuni binafsi zinazomchukua ziingie gharama ya kurudisha hilo deni waendelee naye vinginevyo wafungiwe hadi wamerudisha.
Ingekuwa kusomeshwa na serikali mi hisani suo mkopo basi huo ujumbe wa Askofu unasimama vinginevyo amepotoka kidogo maana hata kanisa likimkopesha mtu lazima arudishe mkopo.
Mwisho wa dunia viongozi wa kiimani kwa hivi sasa wamegubikwa na kashfa nyingi sana za kiuzinzi ujasiri wa kusimama na kukosoa sijui wanaupata wapi!
Huyo Daktari wa PhD ana mifupi?
Uliwahi ona wapi kiongozi anaropokaropoka hvyo?
mwwndawazimu ni ukoo wako, acha viongozi wetu wapendwa wafanye kazi, na uacha kutoa hio kauli yako ya kifedhuriNchi ina msiba ya uongozi, waliopo madarakani ni Wendawazimu kuliko maelezo
Uyu hana kashfa za uzinzi labda kama una ushaidi anatembea na dadako, ulete hapa tuudadavue.
Kwani wewe unahudumu kanisa gani ndugu mchungaji!Jadili maada iliyopo mbele yako,na hayo mengine yaanzishie uzi tuchangie.
Aidha yakupasa ujue kwamba askofu amekosoa kama Bagonza na sio kwa niaba ya viongozi wa kiimani.
We Pimbi tumia hata akili za mbuzi kuvukia barabara kuelewa .