Kwani huko anakoenda hatorudisha? Mkataba wa mkopo ulisema ni lazma afanye kazi serikalini? Huko anakoenda anaenda kuwahudumia wachina?Mimi nadhani tunalo tatizo la tafsiri. Badala ya kuhukumu tungemuuliza alikuwa na maana gani. Mimi nilivyomuelewa ni kwamba kama amesomeshwa na serikali anapokuwa na mawazo ya kuondoka arudishe kwanza gharama maana huo mi mkopo suo hisani halafu aondoke.
Vinginevyo hizo Kampuni binafsi zinazomchukua ziingie gharama ya kurudisha hilo deni waendelee naye vinginevyo wafungiwe hadi wamerudisha.
Ingekuwa kusomeshwa na serikali mi hisani suo mkopo basi huo ujumbe wa Askofu unasimama vinginevyo amepotoka kidogo maana hata kanisa likimkopesha mtu lazima arudishe mkopo.
Ila kiongozi..mheshimiwa Rais alisemaga kama wakati anaombwa kupandisha maslahi ya wafanyakazi kuwa..kama unaona mshahara wa Serikali hautoshi acha basi acha kazi..au labda ilimaanishankazi nyingine labda? Nionavyo kama alitoroka kazini basi amevunja taratibu za ajira..lakini jama aliacha kisheria tusimuhukumu daktari japo hajafanya vyema..japo hata huko aendako atahudumia watanzania tuuKwani kanisa linasomesha kisha linadai ghalama ziludi au inasomesha bure? Maana serikari inakopesha na ndio maana inahitaji ilipwe
Naomba bagonza akiri inaanza kupungua hata kufikiri nini kilinganishwe.
Magufuri kauliza kwa nini huyo dakitari aliomba serikarini na kuchukua kianzio wakati anajua kuna malipo sehemu nyingine ni mkubwa na kuzuia nafasi ya wengine kupata akira?
Hilo linatakiwa lijibiwe na Bagonza kwanza.
Kwa nini aliomba serikarini wakati anajua binafsi zipo na kuchukua pesa ya kianzio na kukimbia?
Nadhani haujasoma kwa mkopo kaka. Hakuna conditions yeyote yakufanya kazi popotebaada ya kumaliza Chuo. Bodi wanataka ulipe mkopo baada ya miaka miwili wakimaanisha utakuwa ushaanza kupata kipato kwa taaluma uliyopata na si ufanye kazi serikalimi. Si unaona hata ajira hakuna ama ni chache sana Serikalini? Hilo sharti halipo katika bodi ya mkopoMimi ninavyojua unapokuwa na mkopo wa serikali unakuwa na mkataba labda wa miaka miwili kufanya kazi nao mpaka umalize deni then unakuwa huru kufanya kazi kokote.
Sasa kwa case ya dakitari huyu wa Tabora ni ngumu kulaumu upande wowote sababu hatujui mkataba ulikuwaje. Kama alikuwa hajamalza mkataba akakimbilia private basi ana haki ya kukamatwa na kufungwa kwa kosa la kuvunja mkataba na serikali.
Na hospitali iliyompokea itashtakiwa sababu haijauliza rekodi za dakitari, kabla ya usajili.
KabisaNchi ina msiba ya uongozi, waliopo madarakani ni Wendawazimu kuliko maelezo
Hahahaaa. Wewe unaishi kwa fikra hasi kila kukicha. Beba msalaba ubarikiwe achana na siasa
Wanufaika wa mkopo huwa wanarejesha mikopo yao kupitia makato ya kila mwezi kwenye mishahara yao bila kujali kuwa wameajiriwa serikalini au kwenye sekta binafsi.Mimi nadhani tunalo tatizo la tafsiri. Badala ya kuhukumu tungemuuliza alikuwa na maana gani. Mimi nilivyomuelewa ni kwamba kama amesomeshwa na serikali anapokuwa na mawazo ya kuondoka arudishe kwanza gharama maana huo mi mkopo suo hisani halafu aondoke.
Vinginevyo hizo Kampuni binafsi zinazomchukua ziingie gharama ya kurudisha hilo deni waendelee naye vinginevyo wafungiwe hadi wamerudisha.
Ingekuwa kusomeshwa na serikali mi hisani suo mkopo basi huo ujumbe wa Askofu unasimama vinginevyo amepotoka kidogo maana hata kanisa likimkopesha mtu lazima arudishe mkopo.
Unajua askofu anachunga roho za watu hadi hao viongozi wa kisiasa? Kiongozi wa dini anapokaa kimya sehemu yenye uonezi basi hautumikii WITO wake sawa sawa. Maaskofu wa RC kama rais angekua muislamu ungeziona nyaraka zao, kila siku wangekua wanatoa but now wapo kimyaaa, kama hawapo vile.Huyu askofu ana mdomo na mikono mirefu sana, si kila kitu lazima ajibu, kama jambo halikutoi damu wachalipite.
Usilolijua ni sawa na usiku wa gizaMimi ninavyojua unapokuwa na mkopo wa serikali unakuwa na mkataba labda wa miaka miwili kufanya kazi nao mpaka umalize deni then unakuwa huru kufanya kazi kokote.
Sasa kwa case ya dakitari huyu wa Tabora ni ngumu kulaumu upande wowote sababu hatujui mkataba ulikuwaje. Kama alikuwa hajamalza mkataba akakimbilia private basi ana haki ya kukamatwa na kufungwa kwa kosa la kuvunja mkataba na serikali.
Na hospitali iliyompokea itashtakiwa sababu haijauliza rekodi za dakitari, kabla ya usajili.
Wewe muoga ndoo huwezi kusema lakini yeye acha aongee ili mradi hajavunja sheria.Sote tukikaa kimya kama unavyotaka wewe itakuwaje?Huyu askofu ana mdomo na mikono mirefu sana, si kila kitu lazima ajibu, kama jambo halikutoi damu wachalipite.
Kwahiyo Dr mkopo harudishi? Loan Bord si wanakataa mkopo toka kwake?Mimi nadhani tunalo tatizo la tafsiri. Badala ya kuhukumu tungemuuliza alikuwa na maana gani. Mimi nilivyomuelewa ni kwamba kama amesomeshwa na serikali anapokuwa na mawazo ya kuondoka arudishe kwanza gharama maana huo mi mkopo suo hisani halafu aondoke.
Vinginevyo hizo Kampuni binafsi zinazomchukua ziingie gharama ya kurudisha hilo deni waendelee naye vinginevyo wafungiwe hadi wamerudisha.
Ingekuwa kusomeshwa na serikali mi hisani suo mkopo basi huo ujumbe wa Askofu unasimama vinginevyo amepotoka kidogo maana hata kanisa likimkopesha mtu lazima arudishe mkopo.
Huu ni upuuzi kama upuuzi mwingine,roho mbaya na husuda ndivyo vinavyowaongoza, mmekuwa na wivu wa kike hamtaki wengine wawe na furaha, ni sehemu gani katiba inaliongelea hilo?Serikali inahusika na elimu ya mtu kwa namna moja au nyingine.
Kwani ulipokuwa primary school ulisomeshwa na kanisa? , au tunafikiri elimu ni ile ya juu peke yake?
Wanaompatia anachokitaka wao hawakipati hata kwa Corona ?!Huyu askofu anachokitafuta atakipata sio mda mrefu
Hivi uongo huu mnafundishana wapi ?Mimi ninavyojua unapokuwa na mkopo wa serikali unakuwa na mkataba labda wa miaka miwili kufanya kazi nao mpaka umalize deni then unakuwa huru kufanya kazi kokote.
Sasa kwa case ya dakitari huyu wa Tabora ni ngumu kulaumu upande wowote sababu hatujui mkataba ulikuwaje. Kama alikuwa hajamalza mkataba akakimbilia private basi ana haki ya kukamatwa na kufungwa kwa kosa la kuvunja mkataba na serikali.
Na hospitali iliyompokea itashtakiwa sababu haijauliza rekodi za dakitari, kabla ya usajili.
Sawa kuna pesa ya kujikimu alichukua na kuondoka mayo inabidi arudishe maana serikari haitoi pesa bure,Ila kiongozi..mheshimiwa Rais alisemaga kama wakati anaombwa kupandisha maslahi ya wafanyakazi kuwa..kama unaona mshahara wa Serikali hautoshi acha basi acha kazi..au labda ilimaanishankazi nyingine labda? Nionavyo kama alitoroka kazini basi amevunja taratibu za ajira..lakini jama aliacha kisheria tusimuhukumu daktari japo hajafanya vyema..japo hata huko aendako atahudumia watanzania tuu
Aliemsomesha
Kama ameacha kwa utaratibu hajatoroka hanaga shida kabisaa hapo. Ila kuhusu kulipa mkopo kama ulisoma Chuo Kikuu wewe unajua kabisa unalipa popote sio lazima kwenye ajira ya serikali maana hakuna kipengele kwenye mikataba ya mikopo kufanya kazi serikalini. Pia haina haja kufungiwa kwa hospitali anayofanya kazi maana analipa kodi tunajenga miondombinu. Hao walimu wasio na ajira wanalipa lini mikopo na serikali haiwezi uwezo wa kuajiriii..nishauriiSa
Sawa kuna pesa ya kujikimu alichukua na kuondoka mayo inabidi arudishe maana serikari haitoi pesa bure,
Pia arudi asaini ni hindi ya kulejesha mkopo wa serikari