Bado mnapambana na JK tu, hivi JK kawafanya nini?...
JK ni Rais mstaafu, nchi ina vyombo vya Dola na Serikali kwa ujumla na taasisi zake lakini kila kukicha JK, JK, JK, hizi sasa ni tabia za kike kike kusema sema ni sawa na kuimba imba taarabu, inaonekana kuna mahala watu wana chuki tu binafsi na JK.
JK shikiria hapo hapo uliposhika maana inaonekana ukipaachia hii nchi itaingia kwenye shida sana maana kambale ni wengi sana na wanataka kuzipangia mamlaka nini cha kufanya.
Tena ikiwezekana deep state itengeneze kiumbe mwingine atakayekuwa power full au more power full kuliko JK.
Nimegundua hii nchi inataka strong dude kama JK kuwatuliza wajinga wajinga ambao bila kufanya hivyo wanaweza kuleta ujinga kwa kutokujua limitations zao.
safarini Khartoum Sudan.