Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

Ushsuri wake lazimu utaiharibu zaidi nchi kwa sababu chini ya uongozi wake ndiyo nchi hii ilianza kuharabikiwa. Alichaguliwa kwa 80% ya kura zilizotokana na uongozi bora wa awamu ya 3. Baada tu ya miaka 5 ya uongozi wake kura zikashuka hadi 60%! Ndiyo kusema ndani ya miaka 5 wananchi waliufahamu aina ya uongozi wake na kuuchoka. Wakati awamu ya 4 inamaliza muda wake kura zikawa zimeshuka zaidi na ikabidi kuchakachuliwa kufikisha angalau 58%! Baada ya hapo ccm ikawa haitaki tena uchaguzi bali kupora tu. Awamu ya 4 ndiyo muasisi wa uchafuzi tangu ule wa Zanzibar 2015. Tukiendelea namna hii kwa miaka mingine 5 tutakuwa hatuna nchi kabisa.
 
Kwani wanaofungishana hadi ndoa za kufira.na huko vatican ni waislam??

Makafiri kwanini hamtumii akili?
Mashoga uislamini ndio mahali kwao ndio maana wamejsana
Aaah kuuumbee....sasa tushajua hawa wanachokitaka mafa.la hawa
Tatizo mnajifanya kusahahu ili kuhalalisha hoja zenu halafu mkiambiwa kobaz akili hakuna mnanuna , katoliki halija acha kukemea uovubhatavmara moja na limekuwa likikemea katika zama zote hata alipo kuwa madarakani magufuli ambaye ni mwenzao walimsema sana tu, ila mnajifanya mmesahau
 
Kikwete ni Rais pekee mstaafu aliebakia,makafiri mnaumia nini akiombwa uzoefu wake na huyu alieopo madrakani??makafiri hizo chuki zenu peleni kwa yesu
Hii kauli ndugu zangu waislam sio nzuri, mnatengeneza ubaguzi huko mbele tuje kutengwa na sisi tena sisi waislam ambao tupo neutral atufaidiki na utawala wa Samia wala wa kikristo.
 
Kikwete ni Rais pekee mstaafu aliebakia,makafiri mnaumia nini akiombwa uzoefu wake na huyu alieopo madrakani??makafiri hizo chuki zenu peleni kwa yesu
Nyie makobazi vibwengo sanaaa na uelewa wenu uko chini sababu ya ubazazi wenu ndo mana maostadh wenu kutwa kulia lia njaa na sadaka mnatoa mia mbili mbili ,wenzenu wana mahospital ,wana mashule wana vyuo vikuu wana maprofesa wa kumwaga,
Wana miradi mizito zito ,elimu dunia ipo, elimu mbingu ipo,fedha ipo na ujasiri wa kusema kweli upo,

Kwa sababu wana mihimili iliyonyooka nyie makobazi Uhuru gani mlioupigania wakati mlikua bize kucheza bao na karata vibarazani
Mna roho mbaya sana ,Mwinyi alikua Rais uliyaona haya? Mbona alimaliza safi tu ,
Leo watu wakisema mnadai udini ,udini gani na hakuna aliyesema dini wamesema madhaifu yaliyoonekana ,

Na mnajijua makobazi kwa wivu,husda ,umbea ,chuki, na ukilaza
 
We mtu umeendesha gari miaka kumi umestaafu gari kapewa mwingine lakini kutwa kumzonga mara naomba niendeshe kidg mara uombe ukondakta wakati gari ulikuwa nayo mda mrefu ungeweza kufanya chochote ukiwa dereva
Mwishowe gari liingie kwenye mtaro kisa ubishani wa madereva wawili dereva wa zamani na dereva mpya,ndio maana Kuna dereva alisema anawashwawashwa😂
 
Siku mtu asiyejulikana atatokea kusikojulikana atakupiga dole litachana jinsi na hata boxer na kuzama unakonyea na toka siku hiyo akili itakurudi na kuwa mtu mwema
NAkatia na muhuri wa mwanasheria hilo neno limtokee huyo mjinga mmoja
 
Hivi Rais kua muislam Wewe unanufaika vipi au akiwa mkatoliki kana unufaiki na chochote Wewe ni mpumbavu unayefurahia udini. Na Tanzania haina miaka 10 ijayo Tanzania itakua imedumbukia kwenye vita ya Udini kabisa kama Nigeria ilivyo bado tuna nafasi ya kurekebisha Aya ni kutenda haki. Palipo na haki amani utawala. Waislamu akikemewa rais wanasema anakemewa kwasababu ya dini yake siku sijajua kwanini wanaegemea huko wakati Magufuli amepigwa spana sana hapa JF na kanisa katoliki lilimpiga spana sana Magu Sijawai kuona watu wakisema Magu alisemwa kwasababu ya ukatoliki wake. Mfano Fatma karume alikua anampiga sana spana Magu na na zitto sasa hivi wapo kimya Je walikua wanasukumwa na udini? Tufike kipindi tuache masuala ya Udini
 
waislamu always tunapenda kulialia sana ndio shida yetu zamani nami nilikua naamini tunaonewa nikaja kujua kama kuonewa ilikua zamani kwa sasa ni upuuzi tu, na tumethibitisha kuwa hatufai kuongoza nchi.
 
msoga amepigwa spana vilivyo
Jambo la kufurahisha ni kuwa jk huwa Hana time na vinabo.

Ameanza kusemwa tangu 95 akiwa si chochote si lolote....mwamba akatulia tu.
Amesemwa 2005 wakati anaigombea, kuwa ana ukimwi na huwa anaenda kubadilisha damu Kila baada ya miezi mi3; mwamba akatulia tu.
Amesemwa sana sana sana wakati wa utawala wake na watu aliowatoa gizani mwenyewe kielimu na kimapato Hadi kuitwa dhaifu kikebehi kabisa; mwamba akatulia tu.
Amesemwa wakati wa JPM kuwa anawashwawashwa; mwamba akatulia tu. Amesemwa kuhusu vifo kibaaao vya viongozi kuwa kawaua yeye......tena Sasa wapo wanaooa haitoshi wanasema hata Nyerere na Mkapa kawaua yeye🤣🤣🤣🤣......mwamba katulia tu.

Amesemwa mno na kina bashe na musiba, tena waziwazi, lakini mwamba katulia tu.
Anasemwa kipindi hiki kuwa ndiye anayeongoza nchi lkn mwamba kama kawaida yake, ametulia tu. Unajiuliza, km ingelikuwa yeye ndo anaongoza hivi bashe na musiba wangelikuwa salama kweli?!!

Kama yoooote hayo ameweza kuyakabili bila papara, atahangaishwaje na kinabo huyu?!!!!!!!!!! Anampotezea tu , kama kawaida.

Nafikiri Tanzania imeumbwa kwa ajili ya kumsema kikwete na kikwete ameumbwa na Mungu kwa ajili ya kuja kutufundisha watanzania uvumilivu na subra.
 
Back
Top Bottom