Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

Watoto wa juzi kama wewe ambae unakaa kwa mgongo wa shemeji hapo mjini anaemkaza dada yako huwezi kuelewa history ya nchi hii...

Kukujibu tuh hapa nimepoteza muda wangu bila sababu ya msingi.

Nenda kafanye homework kisha uje uongee na baba zako hapa ndani,umeskia we nguchiro?
Kuandika hayo yoote umedhihirisha wazi hamna kitu kichwani bata mzinga wewe,
Uhuru gani mlioupigania ? Uhuru haukupiganiwa kidini wewe falo mmoja,
Mkishapewa vinyama vya ngamia vya mgao na tende za msaada mnaanza kupeana umbea huko sio?
Elimu hamna hao Wazungu mngeongea nao nini?

Si mlikua mnaburuza magauni tu na porojo nyingiii ,mimi sawa niko kwa dada yangu hongera wewe uko kwa mumeo huko na angalia kwa mdomo huo utapigwa talaka tatu wewe
 
Ndiyo shida yenu makafiri,lione...kutwa kutukana watu mitandaoni huku mkiwa hamjui hata historia ya nchi hii

Huyo nyerere kafika.hapa town na kupokelewa na watu kama Abdulwahid skykes na kupewa hifadhi baada ya kuacha kazi pugu sec school ili aungane na wazee wa kiislam hapa mzizima kupigania uhuru wa nchi hii wakati kanisa likiwa limekumbatia wakoloni...soma vitu uelewe...siyo kukalia kuimba kwaya za mwamposa na gwajima tuh fala wewe.
Mbona mwamposa ndio kambariki mama yako na mama yako alienda mwenyewe akaweka makalio kwenye kiti cha Mwamposa akabarikiwa nae unamdharau sasa unajua nn kafiri mkubwa ww.
 
KANISA KATOLIKI LIACHE SHOBO NA SIASA ZA NCHI HII,HAPO KANISA LINAUMIA KWA SABABU RAIS NI MUISLAM NA MSTAAFU NI MUISLAM,ACHENI NONGWAA...

NCHI HII WAKATI WAISLAM WANAPIGANIA UHURU KANISA LILIMKUMBATIA MKOLONI...LEO FYOKO FYOKO WANAZITOA WAPI
Wewe wakati unapiga kampeni humu kuwa gesi isitoke Ntwara kuja Dar, nchi ilikuwa chini ya mgalatia au muislamu?.
 
Tutengeneze mifumo imara maneno hayana tija!mifumo itawastaafisha wakalime nyanya hata kama hawapendi!pia itaondoa wanafamilia kwenye siasa za upendeleo na taaluma itakuzwa ili Kila msomi ajivunie taaluma yake!
 
Kikwete ni Rais pekee mstaafu aliebakia,makafiri mnaumia nini akiombwa uzoefu wake na huyu alieopo madrakani??makafiri hizo chuki zenu peleni

Kwa kuwa maaskofu wana chuki na Rais muislam waislam nanyi Tangazeni chuki na wakristo kama vipi mchapane waislam na wakristo watakaoshinda wachukue dola.
Mna nguvu lakini kutwa kunangwa na mnashindwa kuchukua hatua.
Mpuuzi dawa yake ni kumpuuza, mkimjibu mnampa kichwa, mwacheni aendelee kuandika upupu wake
 
Kumbe watu wanazijua harakati za huyu Mzee na sometimes uvumilivu unawashinda na kuamua kutoa ya moyoni
Wanabodi,
Declaration of Interest

Katika uendeshaji wa nchi yetu, kumewahi kuwepo tuhuma za kitu kinachoitwa "Mfumo Kristo", hata uongozi wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, uliwahi kutuhumiwa kujaza Wakatoliki!. Mwalimu Nyerere akamtuma msaidizi wake Bi. Wickens amuhesabie idadi ya mawaziri Wakatoliki kwenye cabinet yake, akawakuta wawili, mmoja wao ni Sir George Kahama, wakati huo Sir George ameisha endelea, ana wake 2!.

Japo Tanzania ni secular state, nchi yetu haina dini na serikali haina dini, ila watu wake wana dini, na dini Kuu mbili ni Wakristo na Waislamu. Ukiangalia development index ya maendeleo na personal development ya watu hawa wawili ni tofauti, kuna mmoja ni more influential kuliko mwingine, hivyo akisema kitu kinasikilizwa na kisipo sikilizwa...

Tukubali tukatae, Kanisa Katoliki lina upper hand kwenye siasa za nchi hii!, si wengi wanajua kuwa kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki!, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, na atakaye mfuatia Mama Samia baada muda wake, ni lazima awe Mkatoliki!, je kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.

Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.

Bwana wetu Yesu Kristo alituasa tumpe Kaisari yaliyo ya Kaisari na tumpe Mungu yaliyo ya Ki Mungu, jee waraka mzito kama huu, haujachanganya ya Ki Mungu na ya Kaizari?.

Paskali.
Askofu kwa Maonyo haya,

Lazima alikuwa kwenye mfungo na maombi ya nguvu.

Ujasiri huu ni wa kupigiwa mfano.

Cha kushangaza waumini kina Pascal Mayalla ,johnthebaptist uoga umewajaa.
Huu sio ujasiri, ni kiburi tuu cha udini!. Baba Askofu anakemea kwa dharau kwasababu Mstaafu kemewa ni Muislamu!.

Mstaafu alipokuwa Mkatoliki, Julius, alikuwa sio tuu anashauri, alikuwa anaitisha hadi press conference na kumuingilia rais aliyepo! hatukuwaona wala kuwasikia Maaskofu Katoliki kukemea!. Lakini Mstaafu Muislamu kumshauri Dada yake!, imekuwa nongwa!.

Huku sio kuchanganya dini na siasa?. Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?
P
 
Kuandika hayo yoote umedhihirisha wazi hamna kitu kichwani bata mzinga wewe,
Uhuru gani mlioupigania ? Uhuru haukupiganiwa kidini wewe falo mmoja,
Mkishapewa vinyama vya ngamia vya mgao na tende za msaada mnaanza kupeana umbea huko sio?
Elimu hamna hao Wazungu mngeongea nao nini?

Si mlikua mnaburuza magauni tu na porojo nyingiii ,mimi sawa niko kwa dada yangu hongera wewe uko kwa mumeo huko na angalia kwa mdomo huo utapigwa talaka tatu wewe
Wewe ***** wazeee hawakupigania uhuru ili nchi iongozwe kidini,na ndiyo maana nyerere alipewa nafasi ya kuwa miongoni mwao,soma historia wewe nguchiro,siyo kukaa kutegemea ugali wa bure kwa shemeji yako,mwishowe unageuka ***** kama.hivi ulivyo.

Kanisa enzi za uhuru lilikimbia harakati kwa kuogopa bwana zao wazungu sasa hatutaki kuskia shobo zao za kijinga.

Kikwete ataendelea kumpa support samia watake wasitake,kama wanaumia waende wakashitaki vatican
 
Kama alimaanisha jk basi huyo kiongozi wa dini atakuwa na dosari,si jambo jema kwa kiongozi wa dini kumuandana mtu hata kama ana dosari
Naunga mkono hoja
Wanabodi,
Declaration of Interest

Katika uendeshaji wa nchi yetu, kumewahi kuwepo tuhuma za kitu kinachoitwa "Mfumo Kristo", hata uongozi wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, uliwahi kutuhumiwa kujaza Wakatoliki!. Mwalimu Nyerere akamtuma msaidizi wake Bi. Wickens amuhesabie idadi ya mawaziri Wakatoliki kwenye cabinet yake, akawakuta wawili, mmoja wao ni Sir George Kahama, wakati huo Sir George ameisha endelea, ana wake 2!.

Japo Tanzania ni secular state, nchi yetu haina dini na serikali haina dini, ila watu wake wana dini, na dini Kuu mbili ni Wakristo na Waislamu. Ukiangalia development index ya maendeleo na personal development ya watu hawa wawili ni tofauti, kuna mmoja ni more influential kuliko mwingine, hivyo akisema kitu kinasikilizwa na kisipo sikilizwa...

Tukubali tukatae, Kanisa Katoliki lina upper hand kwenye siasa za nchi hii!, si wengi wanajua kuwa kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki!, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, na atakaye mfuatia Mama Samia baada muda wake, ni lazima awe Mkatoliki!, je kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.

Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.

Bwana wetu Yesu Kristo alituasa tumpe Kaisari yaliyo ya Kaisari na tumpe Mungu yaliyo ya Ki Mungu, jee waraka mzito kama huu, haujachanganya ya Ki Mungu na ya Kaizari?.

Paskali.
Askofu kwa Maonyo haya,

Lazima alikuwa kwenye mfungo na maombi ya nguvu.

Ujasiri huu ni wa kupigiwa mfano.

Cha kushangaza waumini kina Pascal Mayalla ,johnthebaptist uoga umewajaa.
Huu sio ujasiri, ni kiburi tuu cha udini!. Baba Askofu anakemea kwa dharau kwasababu Mstaafu kemewa ni Muislamu!.

Mstaafu alipokuwa Mkatoliki, Julius, alikuwa sio tuu anashauri, alikuwa anaitisha hadi press conference na kumuingilia rais aliyepo! hatukuwaona wala kuwasikia Maaskofu Katoliki kukemea!. Lakini Mstaafu Muislamu kumshauri Dada yake!, imekuwa nongwa!.

Huku sio kuchanganya dini na siasa?. Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?
P
 
Hii meza imeshapunduliwa.....
Muda utasema.

Ndio maana tunaishia kutumia lugha ngumu kwenye mada.
In fact...he is done. Sio kwa haya yanayoendelea😂😂😂

He is done kivip,kikwete ndiyo pekee mstaafu aliebakia nchi hiii...

Suala la yeye kuendelea kumpa support samia siyo suala la ubaya..wao kwa nini wanaumia.
 
waislamu always tunapenda kulialia sana ndio shida yetu zamani nami nilikua naamini tunaonewa nikaja kujua kama kuonewa ilikua zamani kwa sasa ni upuuzi tu, na tumethibitisha kuwa hatufai kuongoza nchi.
Wewe ni kafiri usijivike uislamu. Jenga hoja kwa nafasi yako sio lazima kujivika uislamu ili hoja yako iwe na mashiko.
 
Kumbe watu wanazijua harakati za huyu Mzee na sometimes uvumilivu unawashinda na kuamua kutoa ya moyoni
Kama kweli huyu Askofu haya maongezi yake alikuwa anamlenga JK basi atakuwa amepotoka sana. Rais Mstaafu kumshauri aliyeko madarakani ni kitu cha kawaida sana na ndio maana hata kibinadamu tu vijana huwa wanaomba ushauri kutoka kwa wazee hii ni kutokana na ukweli kwamba mzee anakuwa ameona mengi. Sasa huyu Askofu kusema kwamba JK asimshauri kiongozi aliyepo madarakani anautoa wapi?

Huyo Askofu atakuwa na stress mbaya sana anahitaji msaada wa haraka sana.
 
Wewe ***** wazeee hawakupigania uhuru ili nchi iongozwe kidini,na ndiyo maana nyerere alipewa nafasi ya kuwa miongoni mwao,soma historia wewe nguchiro,siyo kukaa kutegemea ugali wa bure kwa shemeji yako,mwishowe unageuka ***** kama.hivi ulivyo.

Kanisa enzi za uhuru lilikimbia harakati kwa kuogopa bwana zao wazungu sasa hatutaki kuskia shobo zao za kijinga.

Kikwete ataendelea kumpa support samia watake wasitake,kama wanaumia waende wakashitaki vatican
Ukiona mtu anataja taja sana kitu ujue kinamuhusu tangu mwanzo unataja taja sana uchoko we kobazi ,unajua fika unachofanyiwa ili upate hela ya bando huko sipo ,
Kobazi hakuna mnachokiweza zaidi ya fujo nyie si hadi misikitini mnapigana kugombea kinyama cha ngamia?

Kobazi na kupigania uhuru wapi na wapi? Hakuna watu wajinga na wenye mihemuko ya kipumbavu kama wewe na kobazi wenzako,
Ndio maana uwezo wenu wa akili ni mdogo sanaa saaanaaa
Siku ukiacha hiyo tabia yako naweza kukusaidia kukusomesha ufundi cherehani
Mana hicho unachokitegemea kukuweka mjini sio kazi yake hiyo.
 
He is done kivip,kikwete ndiyo pekee mstaafu aliebakia nchi hiii...

Suala la yeye kuendelea kumpa support samia siyo suala la ubaya..wao kwa nini wanaumia.

Kaka watu wameamka. Usanii umefika mwisho. Tunapotaka mazuri kwetu binafsi, tutambue jamii nzima inataka mazuri hayo hayo. Mwenye macho haambiwi ona.

Hii sio chuki binafsi. Hii ni hali halisi. Kila mtu ana hiari ya kutafuta ukweli na kuufuata ama la. Maana mwishi wa siku, uongo lazima utashindwa.

Kuwa na dhamana haina maana ni kupewa mamlaka kama mfame. Wana nzengo wameanza kuzinduka
 
Back
Top Bottom