Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

KANISA KATOLIKI LIACHE SHOBO NA SIASA ZA NCHI HII,HAPO KANISA LINAUMIA KWA SABABU RAIS NI MUISLAM NA MSTAAFU NI MUISLAM,ACHENI NONGWAA...

NCHI HII WAKATI WAISLAM WANAPIGANIA UHURU KANISA LILIMKUMBATIA MKOLONI...LEO FYOKO FYOKO WANAZITOA WAPI
Umeongea ukweli ***** ***** zote ni kwasababu rais ni muislam halafu ni mwanamke wanaumia sana basi tu na ninamvyojua yule mzee atajibu
 
Huyo anatakiwa kuuawa ameharibu mifumo ya uendeshaji wa nchi amepachika wakina asalamaleko ambao kiasili ni watu weupe vichwani aina ya mama yenu wa kizimkazi. Ninyi ni tabaka dhaifu la kutawaliwa, vitu vya upeo sio saizi yenu. Ujanja ujanja, wizi wa mali za umma, ufisadi mkubwa, taifa kukosa muelekeo sio vitu vya kufurahia kwa sababu wewe na rais aliyepo madarakani mna imani moja. Grow up
Makafiri mna udini sana mkiona Rais ni mwanamke halafu muislam aisee mnatamani mjinyonge sasa kazi kwenu miaka mitano tena hiyo inafuata udini utakupeleka wp ww Sijui mpoje makafiri nyinyi Rais wa nchi hii akiwa muislam mna ***** ***** sana kile kipindi cha mwendazake yalikua hayafinyiki haya mbona hatukusikia kelele mlifunga mabakuli yenu
 
Sasa mtu anakatazwa kumshauri demu wake au hawala wake?!...jambo la muhimu ni kumstahafisha mtu pamoja na hawala wake ili waende wakashauriane vizuri gesti
Anashauri nini wakati alikuwa kwenye nafasi ya kufanya na hakufanya. Angetenda wakati wake
 
Kinachoniumiza mimi ni utekaji na mauaji ya raia wasiokuwa na hatia, pia wizi wa mali za umma unaoshinikizwa na JK.
 
Wewe kafiri huna lolote la kunieleza mimi.

Nyinyi kila siku yenu ya ibada.mna episode maalum ya kutoana mapepo njoo msikitini siku moja uone kama.kuna ibada ya kutoana mapepo.

After all,huyo mungu mnaosema ni yupi exactly,yule aliebandikwa.uchi pale msalabani au yupi?
Umeshashiba vinyama vya kupigania huko unajiona maisha umeyapatia.
 
KANISA KATOLIKI LIACHE SHOBO NA SIASA ZA NCHI HII,HAPO KANISA LINAUMIA KWA SABABU RAIS NI MUISLAM NA MSTAAFU NI MUISLAM,ACHENI NONGWAA...

NCHI HII WAKATI WAISLAM WANAPIGANIA UHURU KANISA LILIMKUMBATIA MKOLONI...LEO FYOKO FYOKO WANAZITOA WAPI
Wanazitoa kwenye kinyeo chako fala wewe
 
KANISA KATOLIKI LIACHE SHOBO NA SIASA ZA NCHI HII,HAPO KANISA LINAUMIA KWA SABABU RAIS NI MUISLAM NA MSTAAFU NI MUISLAM,ACHENI NONGWAA...

NCHI HII WAKATI WAISLAM WANAPIGANIA UHURU KANISA LILIMKUMBATIA MKOLONI...LEO FYOKO FYOKO WANAZITOA WAPI
We ni mpumbavu haswaa.
watumishi wa serikali wakistaafu wasirudi kujifanya washauri Kwa vongozi waliopo serikalini ,

Sasa hapo umesikia kataja uislamu ?

Nakuuliza wewe umesikia dini yoyote ikitajwa hapo?

Kweli we punguani!
 
Warioba akija hadharani kukosoa serikali wanasema mzalendo,kikwete akifanya wanasema ana shida
Naomba nikuulize jambo mzee maana kuna uwezekano unafahamu ambayo hatuyafahamu.

Naomba unambie vitu vitano vya msingi ambavyo JK anasemwa kuwa anavitetea ila ni vya maslahi kwa toifa zima ila anapingwa.

Naomba unambie huyu anaemkosoa JK hapo kwenye video amemlenga katika maeneo gani ambayo si sahihi,pointi 5 pia zitanitosha mkuu.

Naomba unambie raisi aliyemaliza muda wake ana ajenda gani za misingi kitaifa ambazo zina maslahi ya wazi na zinafuata Sheria ila hawa wanaharakati wanaonekana kumpinga kwa masilahi yao binafsi na sio ya kitaifa. Point 5 pia zitatosha.

Tukizungumza kwa hoja bila kurumbana tutajua shida ipo wapi na tutakuwa na mijadala pevu sio marumbano yasiyo na kichwa wala miguu.

Mimi kwa upande wangu mtu akiwa amekomalia jambo nakuwa naamini kuna vitu anajua ambavyo wengine hawajui,kumnyima nafasi ya kuelezea ni kosa na si sawa hata katiba inakataza kumzuia mtu nafasi ya kujielezea kwenye jamii.

Leta hoja kamanda,tuongee tusigombane.
 
THE BIG SHOW matusi unayo yatoa unautukansha Uislamu Wala siyo kuutetea Uislamu nadhani unajua nchi hii haiendeshwi kidini, kwahiyo hao wanatumia mfumo uliopo na hawaja utaja Uislamu, na wewe leta hoja yako bila kutaja Uislamu wala Ukristo.

Ukitaja Uislamu au Ukristo unamaanisha umeshindwa kujibu hoja, na Allah amekataza kufanya dhihaka na kubeza watu na kuita watu kwa majina ya kudhalilisha au matusi na amesisitiza sana adabu ya mazungumzo kuheshimiana na kujiepusha na lugha chafu au ya kuudhi.

Surat Al-An'am (6:108)
"Wala msiwatukane wale wanaowaomba wengine badala ya Mwenyezi Mungu, wasije wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua..."

Surat Al-Hujurat (49:11)
"Enyi mlioamini! Wala watu wasiwadharau watu wengine – huenda hao wakawa bora kuliko wao... Wala msitukanane kwa majina mabaya..."

Surat Al-Baqarah (2:263)
"Kauli njema na kusamehe ni bora kuliko sadaka inayofuatwa na maudhi..."

Surat Al-Isra (17:53)
"Waambie waja wangu waseme yaliyo bora. Hakika Shetani huchochea uadui ka
ti yao..."

🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Kwahiyo wewe matusi wanayotukana waislam na uislam huyaoni??

Hawa sisi tutawajibu jinsi wao wanavyokuja,kisasi ni haki,,,haiwezekani sisi hatujafanya kosa lolote kisha makafiri waje kutukashifu na kutudhalilisha tena kwa kuitaja Qur an na Mtume wetu kisha tuwachekee,watavyokuja ndivyo tutavyo deal nao
 
Ushauri wa kunyima haki waTanzania kuwachagua viongozi wanaowataka wao?

Ulipata kusikia wapi Mwalimu Nyerere akishauri upumbavu wa namna hiyo.

Nimekujibu kwa upole sana ili uelewe; sasa njoo na kichwa ngumu tuone kama tutaelewana.

Nyinyi watu mmeamua kujitoa akili na kuiona Tanzania kama ni jalala lenu la kuchezea mtakavyo?
Mimi sina shida na wala siwezi ingiwa hasira na maneno ya hovyo.
Tuwe wakweli tuache fitna! Hivi JK anaweza shauri jambo hilo? Na ni nani alie asisi uporaji wa uchaguzi? Hamuoni au hamjui?
Ukirudi pia uje specifically unakusudia nini watu kunyimwa haki ya kuchagua viongozi wao, nijulishe unalo kusudia wewe.
Ama kuhusu baba wa taifa, unataka mifano gani? Mwl Nyerere kiongozi mzuri mno, nadhani kuna mambo asingefanya kama wanavyo fanya sasa kama yeye ndio Rais...lakini ukitaka msafisha moja kwa moja jibu ni hapana...nitakupa mfano wa jumla kwa haraka, Mwl Nyerere ndio amewalea na kuwatengeneza Marais wa Uganda na Rwanda! Hivi huoni Nchi hizi ktk eneo hili unalosema matatizo yanafanana? Is it coincidence?
 
Back
Top Bottom