Koschei
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 451
- 751
Wenye busara na wenye maono makubwa walimkataa mapema sana. R.I.P JKNš
Kumbe watu wanazijua harakati za huyu Mzee na sometimes uvumilivu unawashinda na kuamua kutoa ya moyoni