Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

Walitegemea kuweka mtu wao Ili wamuondoe mwarabu bandarini,,mkwere kacheza kama pele
Wamefanya fitna zao mpaka waturuki wamezuiwa kugawa nyama kila weekend,eti wakitaka wapeleke kwenye taasisi,hawa watu fitna sana
Waarabu wa buza mna matatizo sana
 
Yanapita Yale ya kumpiga mtu risasi hadharani na mchana kweupe?!!! Utekaji ulianza lini?!!! Kuna ushahidi gani kuwa musiyempenda ndiye aliyeteka?!!!
Haya ndio hatutaki kusikia kabisaaa. Huyo aliyepigwa risasi, Chama gani kilikuwa kina shika dola? CCM ni Ile Ile! Dr. Ulimboka alitekwa kwenye utawala wa nani? Absalom Kibanda alitekwa na kutobolewa macho kwenye utawala wa nani? Usijizime data msidhani tumesahau!
 
Nyuma ya samia kuna kikwete na wahuni wenzake ikumbukwe tu kwmb kama mzee nyerere alingefariki kikwete asingekuwa raisi wa Tz ila ndo ivo sasa
 
Kikwete ni mtu wa ovyo sana na mwanasiasa mwenye TAMAA kaliiiiiiiiiiiiiiii
Warioba atakuwa kasikia

Na Chadema watakuwa wamesikia kuwa wasiwe wanaenda enda kwa Warioba

Nq pollepole naye atakuwa kasikia
 
Warioba atakuwa kasikia

Na Chadema watakuwa wamesikia kuwa wasiwe wanaenda enda kwa Warioba

Nq pollepole naye atakuwa kasikia
Warioba siyo mshauri.

Ni mtu ambaye huwa anashea mawazo yake tu, kwake, kwenye media na makongamano.

Haambatani nyuma nyuma na wanasiasa na kutafutia ugali marafiki zake na familia yake.

Warioba alisharidhika na maisha yake.
 
Sio kwa vile Ndugai alikuwa mshauri wake ameliwa kichwa kiroho na Kimwili kweli.Kipindi cha Magu askof Shoo wa KKKT alivyokuwa anamkoromea Magu hawa walinyamaza na kuunga juhudi mkono.Yakimfika mtu utaskia akilia au kulalamika,sasa huu ndio msimu wenyewe.
 
Huu ujumbe uwafikie maaskofu wastaafu wa katoliki na KKKT nk na yeye mwenyewe Dalu Askofu aliyehubiri
 
Anasema we fanya biashara na ulipe kodi 😄

Ova
 
Nyuma ya samia kuna kikwete na wahuni wenzake ikumbukwe tu kwmb kama mzee nyerere alingefariki kikwete asingekuwa raisi wa Tz ila ndo ivo sasa
Kwahiyo yule mzee mpuuzi alietutia umasikini ndio anaruhusiwa kuchagua nani awe raisi?
 
Back
Top Bottom