Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

Hayo yote wanayajua
Tunataka ujumbe umfikie fulani iwe kwa jua au mvua
Twende...naona RC wana attack kila angle aisee
Hivi NS wako wapi na zile report za siri ujumbe wanamfikishia chairman?
 
Kama Jakaya ana mchango wa haya matendo ya kishetani ya kiteka na kuua watu wanaokosoa, na kwenye hii mifumo ya kudhulumu haki za watu, kwa kweli alaaniwe. Yaani wanawaua vijana wadogo, tena wasiohatarisha hata huo ufisadi wao! Hawa watu wanaofanya huu ushetani, siyo binadamu kabisa, na sijui kwa nini walizaliwa kwenye hii nchi yetu. Maana ni aheri wasingelizaliwa kabisa. Watu wachache wanakuwa ni hatarishi kwa uhai, usalama na ustawi wa watu mamilioni.
 
😀😀…. Wametoa mlio Mwamba anakabia juu.. Anampa formation bmdash za kukabiliana nao
 
Hiyo ipo Zanzibar
Marais wastaafu siwasikii kabisa
Dr. Salmin Amour
Amani Karume
Dr. Shein
 
😀😀…. Wametoa mlio Mwamba anakabia juu.. Anampa formation bmdash za kukabiliana nao
Walitegemea kuweka mtu wao Ili wamuondoe mwarabu bandarini,,mkwere kacheza kama pele
Wamefanya fitna zao mpaka waturuki wamezuiwa kugawa nyama kila weekend,eti wakitaka wapeleke kwenye taasisi,hawa watu fitna sana
 
Back
Top Bottom