johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ikija katiba mpya atagombea Serikali mpya ya Tanganyika 🐼✔️Sasa na yeye si arudi kama anaweza?
Kama hawezi basi awe kama Obama, Bill Clinton, George Bush etc
Ikija katiba mpya atagombea Serikali mpya ya Tanganyika 🐼✔️Sasa na yeye si arudi kama anaweza?
Kama hawezi basi awe kama Obama, Bill Clinton, George Bush etc
Gwajima aliongea kanisani kama alivyofanya leo Dalu, kanisa likafungwa.Askofu kavunja ukimya.
Kufunga Kanisa Moja Takatifu la Mitume ni sawa na kufunga Balozi za Dunia nzima 😄Gwajima aliongea kanisani kama alivyofanya leo Dalu, kanisa likafungwa.
Walifunge na hili kanisa la Dalu.
Ndio mana mwendazake aliwaona wanawashwa washwa tuu wangekuwa na uwezo wangefanya wakati wapo madarakani hahahaPutin alirudi kwa nini? Katiba ya Russia unaijua? Netanyahu alirudi kwa nini? Katiba ya Israel unaijua? Hawa wa kwetu yaliwashinda enzi zao wanajifanya kushauri nini ? Tena wanajipeleka wenyewe kwa waliopo! Si usubiri uitwe kama wanahitaji ushauri wako? Walifisidi enzi zao, Bado wanatamaa ya kuendelea kufisidi. Mhuni ni mhuni tu.
Katiba zao zinaruhusu ,punguza msesewe kwenye mbege huko Mashati kuelekea Tarakea.😂
Netanyahu alistaafu akarudi
Putin alistaafu akarudi
Prof Lipumba alistaafu akarudi
Kwa maslahi mapana ya mataifa yao sasa huyu wa kwetu anatuambia kwenye jimbo la mwanae hakuna wa kupambana nae hivi unaiamini kauli hii??😂
Netanyahu alistaafu akarudi
Putin alistaafu akarudi
Prof Lipumba alistaafu akarudi
Thubutuuuu!!!Gwajima aliongea kanisani kama alivyofanya leo Dalu, kanisa likafungwa.
Walifunge na hili kanisa la Dalu.
Hahahah chekibobu. Yote haya kukosa kujiamnini. Ndo maana uanabaka michakato yote.siku niliposikia yule mama anamtambulisha chekibobu kama boss wake kwenye mimbari ya madhabahu ya kanisa la mwamposa nikajua hapa hatuna kiongozi.
Askofu amejawa na chuki na jk mpaka anajitoa ufahamu. Aisee jk atafika mbinguni akiwa amechoka sana........aisee jamaa anafuatwafuatwa sana.President hushauriwa na president
Anahaki ya kujaa chuki maana mambo mengi ya hovyo yanafanyika..mengine yana ghalimu maisha ya watu. Unateka aongee anacheka cheka kama yule?Askofu amejawa na chuki na jk mpaka anajitoa ufahamu. Aisee jk atafika mbinguni akiwa amechoka sana........aisee jamaa anafuatwafuatwa sana.
😳 ! 😳 !CCM ina baraza la washauri la Marais wastaafu
Swali lingine? 🐼✔️
Stress life labuda ?!Shida hanaga AIBU yule.. angekoma Monduli..tuendelee kumuombea apunguze kiherehere
Tulieni mfundwe.Kumeanza kunuka. Navowajua hao maTEC mpaka jambo lao litimie ndio watapoa
Nao walikuwa wana ccm?😂
Netanyahu alistaafu akarudi
Putin alistaafu akarudi
Prof Lipumba alistaafu akarudi
Kikwete ameiharibu sana hii nchi
Yanapita Yale ya kumpiga mtu risasi hadharani na mchana kweupe?!!! Utekaji ulianza lini?!!! Kuna ushahidi gani kuwa musiyempenda ndiye aliyeteka?!!!Anahaki ya kujaa chuki maana mambo mengi ya hovyo yanafanyika..mengine yana ghalimu maisha ya watu. Unateka aongee anacheka cheka kama yule?