Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ni AZIZ Tafadhari sana.Haziz
Huyu sijui Askofu aliupataje biblia inasema Ktk Yohana 1 : 12Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
___________
Kufuru haina kinga. Kwa Wakristo, dhambi isiyosameheka katika Agano Jipya ni kumkufuru Roho Mtakatifu. Na katika Agano la Kale ni ibada ya sanamu (idolatry). Amri ya kwanza aliyopewa Musa inasema, "Mimi ni Bwana Mungu wako, usiwe na miungu mingine" (Kutoka 20:3-6).
_
Kufuru haina kinga duniani wala mbinguni. Ghadhabu ya Mungu iko wazi katika vitabu vyake vyote.
Tuzitendee haki kumbukumbu zetu;
1. Mwaka 2005 mjinga mmoja alitumia uhuru wake vibaya huko Denmark. Akachora katuni yenye kumdhihaki Mtume Muhammad (S.A.W). Dunia nzima iliwaka moto.
2. Yohana 1 : 12
Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake; 2010 mpuuzi mwingine huko Marekani akachoma moto Quran tukufu. Hakuna jiwe lililosalia juu ya jiwe.
3. Mwaka 2012 huko Mbagala utoto ukavuka mipaka. Msahafu ukakojolewa. Amani yetu ilitoweka kwa muda. Majivu yakawa majivu.
4. Huko Sumbawanga, msimu wa uchaguzi kama huu, ulimi wa mmoja uliteleza. Akaufananisha UTATU mtakatifu na mafiga matatu ya chama chake. Hapakutosha. Mzee Pinda (mtu wa amani), ana cha kusimulia mpaka leo.
Mungu wetu hafananishwi. Mungu wetu halinganishwi. Mungu wetu hashindanishwi. Ni ibada ya sanamu kupenda kitu kingine kuliko unavyompenda Mungu wako. Ni ibada ya sanamu kuchukia kitu kingine kuliko unavyomchukia shetani. Ni ibada ya sanamu kumlinganisha Muumbaji na uumbaji wake.
Hatumtendei haki Mungu kumlinganisha na aliowaumba. Hatuwatendei haki wale tuwapendao kwa kuonesha kuwa tunawapenda kuliko tunavyompenda aliyewaumba.
P
Walinzi na waangalizi wa imani (viongozi wa dini), kama hatuwezi kukemea hili (la Lugola) basi angalau tuchukie na tuonekane kweli tumechukizwa.!
I
Mkuu usijari Covid 19 itakusaidia before October 25Huu udikteta tulionao yatupasa kufanya kitu vinginevyo nchi inaelekea siko.
Tena ni mbaya sana hasa ikampanda mtu kicbwani.Naunga mkono hpja, njaa mbaya sana ....
Kwa theolojia ya kisiasa kange yuko right jesus of chato and Jesus of NazarethKiteolojia kauli ya askofu inajipinga
Chuki ipi Sasa? Fika mahala utafakari mantiki ya BagonzaShida ya Mzee wangu Bagonza amejaa chuki, Chuki Imemjaa hata kwenye vitu vidogovidogo tu.
Ana fananishwa na mpaka picha zipo makanisani na filamu zipo nyingi tuMungu (Yesu) hafananishwi.
Hapa ndipo ninaposhindwa kuelewa kwamba Yesu kristo mwana wa adamu hafananishwi wakti wako wanaangaliaga picha na sinema za YesuAna fananishwa na mpaka picha zipo makanisani na filamu zipo nyingi tu
Mkuu..ile tuhuma ya kudeti na binti ya kaka yako iliisha vipi, ama mlimaliza ilo SAGA kifamilia zaidi?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rubbish ,ondoeni picha kwenye nyumba zenu za yule jamaa aliejifanya yesu kwa kumuigiza na picha hizo ndio zimegeuka mapambo ya nyumba zenu,hilo Bagonza halioni ?,aache ujinga wake,Lugola yuko sawa kabisaAnaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
___________
Kufuru haina kinga. Kwa Wakristo, dhambi isiyosameheka katika Agano Jipya ni kumkufuru Roho Mtakatifu. Na katika Agano la Kale ni ibada ya sanamu (idolatry). Amri ya kwanza aliyopewa Musa inasema, "Mimi ni Bwana Mungu wako, usiwe na miungu mingine" (Kutoka 20:3-6).
_
Kufuru haina kinga duniani wala mbinguni. Ghadhabu ya Mungu iko wazi katika vitabu vyake vyote.
Tuzitendee haki kumbukumbu zetu;
1. Mwaka 2005 mjinga mmoja alitumia uhuru wake vibaya huko Denmark. Akachora katuni yenye kumdhihaki Mtume Muhammad (S.A.W). Dunia nzima iliwaka moto.
2. Mwaka 2010 mpuuzi mwingine huko Marekani akachoma moto Quran tukufu. Hakuna jiwe lililosalia juu ya jiwe.
3. Mwaka 2012 huko Mbagala utoto ukavuka mipaka. Msahafu ukakojolewa. Amani yetu ilitoweka kwa muda. Majivu yakawa majivu.
4. Huko Sumbawanga, msimu wa uchaguzi kama huu, ulimi wa mmoja uliteleza. Akaufananisha UTATU mtakatifu na mafiga matatu ya chama chake. Hapakutosha. Mzee Pinda (mtu wa amani), ana cha kusimulia mpaka leo.
Mungu wetu hafananishwi. Mungu wetu halinganishwi. Mungu wetu hashindanishwi. Ni ibada ya sanamu kupenda kitu kingine kuliko unavyompenda Mungu wako. Ni ibada ya sanamu kuchukia kitu kingine kuliko unavyomchukia shetani. Ni ibada ya sanamu kumlinganisha Muumbaji na uumbaji wake.
Hatumtendei haki Mungu kumlinganisha na aliowaumba. Hatuwatendei haki wale tuwapendao kwa kuonesha kuwa tunawapenda kuliko tunavyompenda aliyewaumba.
Walinzi na waangalizi wa imani (viongozi wa dini), kama hatuwezi kukemea hili (la Lugola) basi angalau tuchukie na tuonekane kweli tumechukizwa.!
Nafikiri unajua udikteta ni nini manake huwezi kujikomboa kutoka udikteta kama huujui. Ni mfumo wa utawala ambapo kiongozi anahodhi madaraka na kuamrisha walio chini yake wafanye atakavyo yeye bila mjadala au ushirikishwaji wa wengine. Ni matumizi ya nguvu ya dola kuwadhibiti watu/umma kwa faida ya kiongozi aliyeko madarakani. Inasikitisha sana kwamba tunaye mtu kama huyu kwenye taifa letu lililokuwa linaheshimika kwa demokrasia.Udikiteta ni Nini???
Mungu ametuumba kwa sura na mfano wake hivyo binadamu anamwakilisha mungu na ukimpenda binadamu umempenda MUNGUKwa theolojia ya kisiasa kange yuko right jesus of chato and Jesus of Nazareth
Bangoza ninWakili wa Kristo, ni Wakili wa Biblia. Wewe ndiebunaejua sio mwema kwa Wakristo tunajua maana ya askofu na maana yake katika kanisa. Endelea kuwaza ujuavyo ila sisi tuajua ni mpakwa mafuta wa bwana...Halafu bagonza sio mwema kiasi cha kuwanyooshea wengine vidole.
Alitakiwa akemee aliyefananishwa na yesu,mbona kule kilosa mkoani Morogoro yule mtumishi aliye kichana kitabu cha koroan ,licha ya mtuhumiwa kupelekwa mahakamani,lakini yesu wa Tanzania alitangaza kumfukuza kazi.Kweli kiongozi mkubwa wa kidini askofu. Kuna Mambo ya wanasiasa wanajitafutia laana wenyewe. Kwanza Magufuli hajamtuma huyo kenge. Kaamua mwenyewe kukufuru hakutumwa anatafuta Jimbo tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app