Tunaongozwa na wanasiasa wapumbavu na chama cha mafioso ccm ccm ni kama Mexican cartels neno haki kwao ni kama kummwagia nyoka mafuta ya taa.
Lini haki ilikosekana tz hadi watu wa kanisani ghafla waimbe wimbo wa haki kiasi hiki?Haki na Tanganyika ni maneno magumu sana kuaysikia vinywani mwa wanasiasa wahuni wa kijani na vibaraka wao
Haki ya mdude.Lini haki ilikosekana tz hadi watu wa kanisani ghafla waimbe wimbo wa haki kiasi hiki?
Unataka watekwe wangapi au wapotee wangapi ndio tuanze kutamka neno haki.Lini haki ilikosekana tz hadi watu wa kanisani ghafla waimbe wimbo wa haki kiasi hiki?
Nani katekwa,na katekwa na nani, wangapi wametekwa?Unataka watekwe wangapi au wapotee wangapi ndio tuanze kutamka neno haki.
Kafanyaje?Haki ya mdude
Alirudi lini toka Cuba?.
Haki ya polepole.
Yupo kenya anakula hela za Ford foundationHaki ya Mzee KIBAO.
Haki ya Sativa
Unamjua aliyemchabanga risasi,umepeleka ushahidi mahakamani wakashindwa mtia hatiani?.
Haki ya Ben saa nane.
Haki ya Lissu risasi 32.
Huyu aliachiwaHaki yule aliyemchora kibibi.
Wangapi,watajeHaki ya wote waliotekwa bila kujulikana.