Afadhali umemgundua kwan lumumba awamu hii hata somo la kusikiliza pia mlifeli?Hujasoma hata post yenyewe umeshacomment, huu ni umbumbumbu wa hali ya juu sana. Hata hivyo sina mashaka kuwa msimu wako utapita kama wengine pia walivyopita
Level ya pengo ni ipiKama Askofu Munga anaona kunyamaza pia ni Hekima, kwa nini yeye hanyamazi kihele hele kila kukicha. Kwanza hana hadhi ya kumjibu Kardinali Pengo maana huyo si level yake
Yeye kama raia wa nchi hii ana haki ya kikatiba kutoa maoni yake na pia kama kiogozi wa kidini ana haki ya kukosoa na kurekebisha na kukemea dhuluma uonevu na kufata misingi na utamaduni wetu kama watanzania...Anamuonya kama nani yeye, ajionye mwenyewe kwa kushindwa kuhudumia watu wamtii mungu badala yake amekuwa mtu wa kuhangaika na mitandao, hao ndo uzao wa kibweterere, kama anahisi siasa na uongozi ni mzuri aingie kwenye game maaa ana haki. Kila kutwa yeye na vimafumbo utafikili yupo uswaz mambo ya kanga. Kama anahisi anamonyo amfate muhusika wazungumze sio kila siku kuandika mitandaoni, ni kukosa maadili ya dini.kwa hiyo anatafuta huruma gani kwenye mitandao, au ndo kuzibuka? Tumechoka nae. Ushauli ni kwamba awafate wahusika awaonye huko waliko sio mitandaoni.
Munga anatumikia tumbo lake mambo ya Mungu alishayaacha kitambo
State agent
Askofu Munga amepoteza mwelekeo
sasa Hajui ashike lipi kati ya dini na siasa
Kama unatumikia la kwako state agent. Huyu askofu kasema yake kwa ushauri na kwa namna aliyoona inafaa. Ifike pahala tuache ushabiki na maneno ya kejeli kwakuwa tu mtu hajamsifia huyo anayetamani kuwa kiongozi wa malaika siku moja.Munga anatumikia tumbo lake mambo ya Mungu alishayaacha kitambo
State agent
So what??????Munga ana hasira sana na serikali mkewe alikua mkuu wa chuo na master yake then PhD holders wakawa lecturers wa kawaida. TCU wakatishia kufunga chuo ikamlazmu mkewe kukaa kando. Hasira zake kwa serikali hazitakuja isha maana maslahi ya familia yake yaliguswa
Hopeless post!Mbowe anamtumia Munga na Shoo kukipandisha chama ambacho kimesha kufa
State agent
So hopeless! Je;hichi ulichokiandika ndo kipimo cha fikra zako?Lazima atambe mitandaoni maana ili awe askofu lazima apigiwe kura hivyo lazima atangaze Sera. Wakiiahachaguliwa wengi hua wanabadili katiba wanakua maaskofu wa kudumu
Sorry nina maoni tafauti hapo. Rais wetu mpendwa na mtukufu sana huwa hatelezwi na ulimu, isipokuwa ule uropokaji unaousikia , ndo kiwango chake cha akili. Ndo upeo wake uleKuna standard behaviour ya kia kada ya watu. Ndiyo maana watu walilalamika kuwa Rais asome hotuba, anateleza sana kwenye ulimi. Jana kasema "wewe mwanamke ukilia sitakusikiliza, najua unalia sana ukiwa na mume wako ..(something of that nature)....Tha was below his rank! sasa be it Pengo or Munga kuna behaviour tunayotegemea kutoka kwao. If one does not meet that, then he has to repent!
Ushauri mzuri sana lakini ingependeza zaidi ungemshauri na Pengo achukue form ThithiemuNashauri askofu akachukuwe fomu ZA CHADEMA. kama kanisa limenshinda achukue form. Aachane na Siasa isije kuwa kama RWANDA masjid ni hatari
Kumbe siku hizi kujibiana kuna level?Kama Askofu Munga anaona kunyamaza pia ni Hekima, kwa nini yeye hanyamazi kihele hele kila kukicha. Kwanza hana hadhi ya kumjibu Kardinali Pengo maana huyo si level yake
Kwani umesahau katika zama hizi. Kuwa na fikra tofauti au kinyume na watukufu ni kuwadharau na kuwatukana. Hata jiwe kuu nalo lina mawazo kama wapenzi wake. Hata umpe ushauri wa muhimu sana pengine hata wa kuokoa maisha yake, lakini kama ushauri huo ni kinyume na mtazamo wake, basi wewe una kosa la kumdharau na kumtukana mtakatifu na mtukufuAisee! Hivi ukikosoa maoni yangu maana yake ni kwamba umeyadharau/umeshindwa kuyaheshimu? Ni kweli hatuwezi kutofautisha kati ya kuheshimu na kukosoa. Askofu Munga amekosoa hayo maoni kwa lugha ya unyenyekevu mno. Hakuna sehemu ktk bandiko lake nimeona lugha ya dharau.
Wewe una hadhi ya kuongea haya?Kama Askofu Munga anaona kunyamaza pia ni Hekima, kwa nini yeye hanyamazi kihele hele kila kukicha. Kwanza hana hadhi ya kumjibu Kardinali Pengo maana huyo si level yake
Kweli ina Kristo tuHeri yao walichagua kuungana na KWELI