Askofu Dr Stephen Munga amuonya Kadinali Pengo: Kunyamaza wakati mwingine ni hekima

Hekima ya Roma na kanisa katoliki hatajibiwa kwenye majukwaa au Vyombo vya habari
 
Kipindi cha akina Eliya na Enock kuna wafuasi walidhani hakuna wapigania haki kumbe wakajitokeza akina Eliya aliyesimama kutetea ukweli Wa Mungu,hata kipindi hiki wapo
 
Vipi hao wanaosifia wanaogopa kuhojiwa uraia wao,au makandokando yao ya upigaji kupitia misamaha ya kodi

Hakuna mtu au kitu chini ya jua au mbinguni kinachochukia kusifiwa, mtu akikusifu kuwa wewe ni tajili hata kama huna kitu utanyamaza au utatabasamu lakini akisema wewe masikini na unajua wewe ni masikini lazima utanuna na kuona kakukosea wakat kasema ukweli, sasa kusifu sio dhambi, ili kudhauliwa ndo dhambi, kwani hata mungu anapenda kusifiwa ingwa unaweza kuwa umempoteza mpendwa wako lakini bado utasifu tu kwamba ni mapenzi yake mungu, ulishawahi kuona mtu anamtukana mungu kwenye msiba?
 
Lazima atambe mitandaoni maana ili awe askofu lazima apigiwe kura hivyo lazima atangaze Sera. Wakiiahachaguliwa wengi hua wanabadili katiba wanakua maaskofu wa kudumu
 
Wewe kigori VP kumuita mtu dogo wakati humfahamu ni kielelezo cha ujinga na sonona ilikomaa

Siku ukivunja ungo ndio utafahamu mm ni zaidi yako

State agent
Hahahahahhahaa imenibidi nicheke tu, haya bhana, hakuna shida!! uwe na wakati mwema.
 
Hujasoma hata post yenyewe umeshacomment, huu ni umbumbumbu wa hali ya juu sana. Hata hivyo sina mashaka kuwa msimu wako utapita kama wengine pia walivyopita
Kweli mkuu, maana anakimbia mbio hadi anapitiliza kwao,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…