Askofu Munga amepoteza mwelekeo
sasa Hajui ashike lipi kati ya dini na siasa
Mkuu hakuna ukweli wa kwenye siasa wala wa kanisani na misikitini, hakuna ukweli wa mbinguni na wa duniani. Ukweli unabaki kuwa ukweli bila kujali unasemwa wapi na nani anausema. Ukweli haugawanyiki, na kwa wale wasioupenda unawaumiza sana.Kwenye siasa kweli ni relative term boss!
Anamuonya kama nani yeye, ajionye mwenyewe kwa kushindwa kuhudumia watu wamtii mungu badala yake amekuwa mtu wa kuhangaika na mitandao, hao ndo uzao wa kibweterere, kama anahisi siasa na uongozi ni mzuri aingie kwenye game maaa ana haki. Kila kutwa yeye na vimafumbo utafikili yupo uswaz mambo ya kanga. Kama anahisi anamonyo amfate muhusika wazungumze sio kila siku kuandika mitandaoni, ni kukosa maadili ya dini.kwa hiyo anatafuta huruma gani kwenye mitandao, au ndo kuzibuka? Tumechoka nae. Ushauli ni kwamba awafate wahusika awaonye huko waliko sio mitandaoni.
Kuzia watu kutoa maoni sio rahisi na wala sioni alipozuia watu kutoa maoni.Munga ni nani hadi azuie watu kutoa maoni yao ??
Bas kausha acha kiherehere wew sio pengo la akiliAsinyamaze, ila na wenzie hawanyamazi!
Nashangaa!Munga ni nani hadi azuie watu kutoa maoni yao ??
Kweli ni ile inayo ku-favour! kwenye siasa! Lakini kwa kiongozi wa dini, that is a SIN to repent! particularly for a man in the rank of Pengo in the Catholic hierarchy!Kwenye siasa kweli ni relative term boss!
It all depends boss! Ni ama kwa Munga ama kwa Pengo, wote ni viongozi wa dini eti...Kweli ni ile inayo ku-favour! kwenye siasa! Lakini kwa kiongozi wa dini, that is a SIN to repent! particularly for a man in the rank of Pengo in the Catholic hierarchy!
Soma uelewe kabla hujajibu.Askofu Munga amepoteza mwelekeo
sasa Hajui ashike lipi kati ya dini na siasa
Kwani Pengo ana hadhi gani?Kama Askofu Munga anaona kunyamaza pia ni Hekima, kwa nini yeye hanyamazi kihele hele kila kukicha. Kwanza hana hadhi ya kumjibu Kardinali Pengo maana huyo si level yake
Kuna standard behaviour ya kia kada ya watu. Ndiyo maana watu walilalamika kuwa Rais asome hotuba, anateleza sana kwenye ulimi. Jana kasema "wewe mwanamke ukilia sitakusikiliza, najua unalia sana ukiwa na mume wako ..(something of that nature)....Tha was below his rank! sasa be it Pengo or Munga kuna behaviour tunayotegemea kutoka kwao. If one does not meet that, then he has to repent!It all depends boss! Ni ama kwa Munga ama kwa Pengo, wote ni viongozi wa dini eti...
Kausha = Nyamaza! U're talking all the same.Bas kausha acha kiherehere wew sio pengo la akili
Now u're talking about the majority, of which yuh already have the answer boss!Kuna standard behaviour
Duh! Hapo ndipo shida ilipo sasa. Unaweza kureply sivyo kabisa.Muda wenyewe ukwapi boss! Tunasoma heading, tunareply...
Kama Askofu Munga anaona kunyamaza pia ni Hekima, kwa nini yeye hanyamazi kihele hele kila kukicha. Kwanza hana hadhi ya kumjibu Kardinali Pengo maana huyo si level yake
Hapa tayari umeshapanic [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Agombee yeye anayewashwa na maendeleo ya awamu ya 5. Yeye alimtaka fisad lowasa kwakua muumini wake. Hizo ni hasira za mKKKT kukatwaKwanini usigombee wewe
Lakini Pengo yeye yupo sahihi[emoji44][emoji44]Askofu Munga amepoteza mwelekeo
sasa Hajui ashike lipi kati ya dini na siasa
Keywords hapo ni Waziri na kufumania! Hakuna namna maoni yangu yangeweza kutoka nje ya mstari, kama ningechangia. Hivi vitu hata shule vinafundishwa, halafu tukimaliza tunalalamika havina application...Siku moja lilikuja na kichwa cha habari front page kinasomeka, 'WAZIRI AFUMANIWA"
Huyo Munga agombee uraisi 2020. Kanisa limemshinda