Askofu Gamanywa: Makonda yuko sahihi Ushoga umekatazwa kwenye Biblia, wananchi acheni kushabikia dhambi

Tokea Mokonda alipo release ile video ya mkono wa bouncer, Gwajima kawa hovyo kabisa
 
Ni kweli ushoga siyo sababu kabsa ya marekani kumkataa Daud Bashite, ebu watetezi wa uovu wa Bashite oneni aibu acheni ujinga acheni kuja na visingizio vya kijinga jinga
 
Kwani wanayotendewa wapinzani kule Uganda yana tofauti gani na wanayo mtuhumu Makonda?
Ina maana wamarekani hawayaoni ya Uganda?
Hawakumsikia Bobi Wine ambae alipelekwa Marekani akiwa kwenye Wheelchair?
 
Kwani wanayotendewa wapinzani kule Uganda yana tofauti gani na wanayo mtuhumu Makonda?
Ina maana wamarekani hawayaoni ya Uganda?
Hawakumsikia Bobi Wine ambae alipelekwa Marekani akiwa kwenye Wheelchair?
Sasa kama Uganda wanafanya ndiyo Daud Bashite afanye na yeye? Kwa kuwa Uganda hawajasemwa na marekani ni ruksa Daud Bashite aendelee kuwatesa watu?
 
Kama tatizo ni ushoga, Makonda endelea. Hata ukiondolewa, mashoga tuwe tumewamaliza. Anayewataka wamarekani kwa ushoga, awafuate.
 
Gwamanywa endelea kujitoa ufahamu tu....Habari ya Mjini ni MIKE POMPEO kumla BAN BASHITE kwa KUUA WATU.
Unamshangilia nani? Pom nini? Malawiti hawa! Shauri yako. Ukiona mtu anamshangilia mmarekani kwa Afrika, ujue ufahamu uko hoi. Hakuna nchi iliyosaidiwa na US ktk Africa hii na ikaendelea. Sitegemei chochote chema toka US!
 
Apewe lift ya bombadia aende akawaambia face to face huko.
 
Huyu nae ni askofu?
Lakini ni kweli usiopingika kwamba kila kitu kina kinyume chake. Kama vile giza na nuru, mwanga na usiku, joto na baridi nk
Kwa hawa wa kidini kama vile kulivyokuwa na Habeli na kaini, Musa na Balaam, Yeremia na Nehemia, Yesu na Yuda, ndivyo ilivyo kwa sasa hapa Tz.
Kuna wawakilishi wa Mungu katika kuusimamia ukweli na wasaka tonge kwa kivuli cha dini.
Gamanywa ni miongoni mwa wasaka tonge.
Wengi wa wale viongozi wa dini waliopo kwenye inayojiita kama ya amani ni wasaka tonge wanaolipwa mshahara wa udhalimu kuficha maovu ya watawala kwa kuwabatiza majina mazuri wasiyo yastahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngozi nyeusi ni laana!!

Eti hawa ndio viongozi wa kiroho wanaotakiwa kuona haki za raia zinalindwa na kuiheshimiwa!!
Raia yupi,shoga?Haki za shoga zilindwe,zipi,za kuingiliwa kinyume na maumbile!Mungu anawaona na laana iko juu yenu.
 

Akasome tena ile barua.
 
Huyu askofu mjasiliadini type ya mwamposa,
 
Mheshimiwa sana pompelo atuambie kitendo cha kumuua General wa vita kule iran ilikua sahii , au yeye hana haki ya kuishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…