Hawa watu huwa siyo wakweli na wanajiita mitume kumbe ni wachumia matumboHivi huyu askofu anaelewa maandiko? Mtu anaenda mbinguni kwa kuombewa kweli? Yeye ni nani hadi amuondolee mtu dhambi zake na kuingia mbinguni. Ni huyu Gamanywa ninaye mfahamu kweli, ameanguka wapi huyu mtumishi?
MATAGA sasa mtatagishwa maana aliyekuwa anawapaitia jeuri Mungu kamchukuaKila mtu atakufa. Mimi najua muda ukifika umefika... Hata wewe Mmawia utakufa jipange na mizigo yako ya roho na nafsi
Kama mnajua hilo inakuwaje mnaimba mapambio ooooo watu hawampendiKisichotarajiwa na nani? Wacha kujivika cheo cha Mungu wewe
Yeye tuu na yeye pekee ndio mtoaji na mtwaaji wa uhai, sasa huko kusikotarajiwa unaongea kama nani?
Ni Kitabu cha Dini alichotumia Muongozo wa Kumpeleka Marahemu Mbinguni kwa Maombi yake... aache uduwanzi kila Mtu atabeba Msalaba wake wa Dhambi zake na sio Kuombewa... Swali kabla hujaswaliwa.. Watakuja wengine kukata rufaaAskofu Gamanywa amesema watu wasitegemee mama Samia kufanana na hayati Magufuli kwa sababu Mungu amemuumba kila mtu na kipawa chake.
Rais Samia atatimiza majukumu yake vizuri sana kulingana na kipaji alichobarikiwa na Mungu, amesema.
Askofu Gamanywa amesema wao walimuombea hayati Magufuli hivyo ana uhakika amepokelewa mbinguni kwa Baba.
Source Shallom tv
Anahangaika KufufuaKwani Gwajima yuko wapi?!
Uhai unalindwa kutokana na life style..Siwezi kuwa naendesha gari recklessly kila mara kisha nikafa kwa ajali halafu tuanze kusema ni MunguKisichotarajiwa na nani? Wacha kujivika cheo cha Mungu wewe
Yeye tuu na yeye pekee ndio mtoaji na mtwaaji wa uhai, sasa huko kusikotarajiwa unaongea kama nani?
Taasisi ni kubwa na imara sana,MATAGA sasa mtatagishwa maana aliyekuwa anawapaitia jeuri Mungu kamchukua
Askofu Gamanywa amesema watu wasitegemee mama Samia kufanana na hayati Magufuli kwa sababu Mungu amemuumba kila mtu na kipawa chake.
Rais Samia atatimiza majukumu yake vizuri sana kulingana na kipaji alichobarikiwa na Mungu, amesema.
Askofu Gamanywa amesema wao walimuombea hayati Magufuli hivyo ana uhakika amepokelewa mbinguni kwa Baba.
Source Shallom tv
Anatuangusha waumini wake!!Anahangaika Kufufua
wapiga deal hawaAskofu Gamanywa amesema watu wasitegemee mama Samia kufanana na hayati Magufuli kwa sababu Mungu amemuumba kila mtu na kipawa chake.
Rais Samia atatimiza majukumu yake vizuri sana kulingana na kipaji alichobarikiwa na Mungu, amesema.
Askofu Gamanywa amesema wao walimuombea hayati Magufuli hivyo ana uhakika amepokelewa mbinguni kwa Baba.
Source Shallom tv
Kula mwenyewe unapiga reboundTaasisi ni kubwa na imara sana,
Kama ndicho unasubiri basi rip maana labda miaka200 ijayo
Poleni sometimes binadamu akiwa Kiongozi anajitahidi kuongeza Chumvi ili akubalike zaidi na wale waliokata tamaa warudishe imani so issue za kudharau sayansi na kutoamini Wazungu na chanjo ni sehemu ya hizo janja but Sayansi ukiidharau unaondoka... yaani kamshawishi marehemu apotezee kabisa kujikinga hata alipokufa Maalim Seif akajimwambafai kabisa kuwa si chochote now Magu imebidi ajifiche kabisa asiongee maana Hasira za raia zinaweza muangukia akija sema tena hata Wafalme walifuka utadhani walikufa kwa Corona.. ana dharau sana Gwaji boy Muasherati yule na Kila Mtu kanisani ajajua ukweli haswa kuwa ni Mtenda dhambi sema watu wanafuata Imani... so ni mbaya sana kupotosha vitu vya msingi... Kama wazungu wana nia Mbaya na sisi tuachane na Kinga zitatumaliza basi hata lili hammer lake aliache maana siku linaweza pata ajali likaondosha roho za watuAnatuangusha waumini wake!!
Pole kwakoKula mwenyewe unapiga rebound
Kanjanja ndo jina sahihi la Wajasiriadini.Askofu Gamanywa amesema watu wasitegemee mama Samia kufanana na hayati Magufuli kwa sababu Mungu amemuumba kila mtu na kipawa chake.
Rais Samia atatimiza majukumu yake vizuri sana kulingana na kipaji alichobarikiwa na Mungu, amesema.
Askofu Gamanywa amesema wao walimuombea hayati Magufuli hivyo ana uhakika amepokelewa mbinguni kwa Baba.
Source Shallom tv
Nasikia maalim kakataa tena kupokea mkono wake huko mbinguniAskofu Gamanywa amesema watu wasitegemee mama Samia kufanana na hayati Magufuli kwa sababu Mungu amemuumba kila mtu na kipawa chake.