Askofu Gamanywa: Nilimuombea hayati Magufuli nina uhakika amepokelewa mbinguni kwa Baba

Hivi huyu askofu anaelewa maandiko? Mtu anaenda mbinguni kwa kuombewa kweli? Yeye ni nani hadi amuondolee mtu dhambi zake na kuingia mbinguni. Ni huyu Gamanywa ninaye mfahamu kweli, ameanguka wapi huyu mtumishi?
Hawa watu huwa siyo wakweli na wanajiita mitume kumbe ni wachumia matumbo
 
Kila mtu atakufa. Mimi najua muda ukifika umefika... Hata wewe Mmawia utakufa jipange na mizigo yako ya roho na nafsi
MATAGA sasa mtatagishwa maana aliyekuwa anawapaitia jeuri Mungu kamchukua
 
Kisichotarajiwa na nani? Wacha kujivika cheo cha Mungu wewe
Yeye tuu na yeye pekee ndio mtoaji na mtwaaji wa uhai, sasa huko kusikotarajiwa unaongea kama nani?
Kama mnajua hilo inakuwaje mnaimba mapambio ooooo watu hawampendi
 
Kwa hiyo yale matunguli yake ya kufufulia watu yalipotea ama?
 
Askofu Gamanywa amesema watu wasitegemee mama Samia kufanana na hayati Magufuli kwa sababu Mungu amemuumba kila mtu na kipawa chake.
Rais Samia atatimiza majukumu yake vizuri sana kulingana na kipaji alichobarikiwa na Mungu, amesema.

Askofu Gamanywa amesema wao walimuombea hayati Magufuli hivyo ana uhakika amepokelewa mbinguni kwa Baba.

Source Shallom tv
Ni Kitabu cha Dini alichotumia Muongozo wa Kumpeleka Marahemu Mbinguni kwa Maombi yake... aache uduwanzi kila Mtu atabeba Msalaba wake wa Dhambi zake na sio Kuombewa... Swali kabla hujaswaliwa.. Watakuja wengine kukata rufaa
 
Kisichotarajiwa na nani? Wacha kujivika cheo cha Mungu wewe
Yeye tuu na yeye pekee ndio mtoaji na mtwaaji wa uhai, sasa huko kusikotarajiwa unaongea kama nani?
Uhai unalindwa kutokana na life style..Siwezi kuwa naendesha gari recklessly kila mara kisha nikafa kwa ajali halafu tuanze kusema ni Mungu
 
MATAGA sasa mtatagishwa maana aliyekuwa anawapaitia jeuri Mungu kamchukua
Taasisi ni kubwa na imara sana,
Kama ndicho unasubiri basi rip maana labda miaka200 ijayo
 
Tupunguze kutoa Sadaka. Yaani watu wana ropokaropoka tu
 
Itakuwa ni mbingu ya chato kitovuni.
Askofu Gamanywa amesema watu wasitegemee mama Samia kufanana na hayati Magufuli kwa sababu Mungu amemuumba kila mtu na kipawa chake.
Rais Samia atatimiza majukumu yake vizuri sana kulingana na kipaji alichobarikiwa na Mungu, amesema.

Askofu Gamanywa amesema wao walimuombea hayati Magufuli hivyo ana uhakika amepokelewa mbinguni kwa Baba.

Source Shallom tv
 
Watanzania wengi hawakupata nafasi ya kumuombea kwakuwa waliambiwa rais haumwi na wakapelekwa jela kwa kosa la kusema rais anaumwa.
 
Askofu Gamanywa amesema watu wasitegemee mama Samia kufanana na hayati Magufuli kwa sababu Mungu amemuumba kila mtu na kipawa chake.
Rais Samia atatimiza majukumu yake vizuri sana kulingana na kipaji alichobarikiwa na Mungu, amesema.

Askofu Gamanywa amesema wao walimuombea hayati Magufuli hivyo ana uhakika amepokelewa mbinguni kwa Baba.

Source Shallom tv
wapiga deal hawa
 
Mahubiri yote kwa sasa yawe Mask! Mask! Mask!
 
Anatuangusha waumini wake!!
Poleni sometimes binadamu akiwa Kiongozi anajitahidi kuongeza Chumvi ili akubalike zaidi na wale waliokata tamaa warudishe imani so issue za kudharau sayansi na kutoamini Wazungu na chanjo ni sehemu ya hizo janja but Sayansi ukiidharau unaondoka... yaani kamshawishi marehemu apotezee kabisa kujikinga hata alipokufa Maalim Seif akajimwambafai kabisa kuwa si chochote now Magu imebidi ajifiche kabisa asiongee maana Hasira za raia zinaweza muangukia akija sema tena hata Wafalme walifuka utadhani walikufa kwa Corona.. ana dharau sana Gwaji boy Muasherati yule na Kila Mtu kanisani ajajua ukweli haswa kuwa ni Mtenda dhambi sema watu wanafuata Imani... so ni mbaya sana kupotosha vitu vya msingi... Kama wazungu wana nia Mbaya na sisi tuachane na Kinga zitatumaliza basi hata lili hammer lake aliache maana siku linaweza pata ajali likaondosha roho za watu
 
Askofu Gamanywa amesema watu wasitegemee mama Samia kufanana na hayati Magufuli kwa sababu Mungu amemuumba kila mtu na kipawa chake.
Rais Samia atatimiza majukumu yake vizuri sana kulingana na kipaji alichobarikiwa na Mungu, amesema.

Askofu Gamanywa amesema wao walimuombea hayati Magufuli hivyo ana uhakika amepokelewa mbinguni kwa Baba.

Source Shallom tv
Kanjanja ndo jina sahihi la Wajasiriadini.
 
Askofu Gamanywa amesema watu wasitegemee mama Samia kufanana na hayati Magufuli kwa sababu Mungu amemuumba kila mtu na kipawa chake.
Rais Samia atatimiza majukumu yake vizuri sana kulingana na kipaji alichobarikiwa na Mungu, amesema.

Askofu Gamanywa amesema wao walimuombea hayati Magufuli hivyo ana uhakika amepokelewa mbinguni kwa Baba.

Source Shallom tv
Nasikia maalim kakataa tena kupokea mkono wake huko mbinguni
 
Yule wa Dar shehe Aahad sijui ana hali gani KILA agusapo riziki inakata alianza kwa bashite,alipotimuliwa meza kuu akamkana swahiba wake mkono mtupu haulambwi,leo mzee kaondoka sijui atalamba wapi.
 
Back
Top Bottom