Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hawa watu huwa siyo wakweli na wanajiita mitume kumbe ni wachumia matumboHivi huyu askofu anaelewa maandiko? Mtu anaenda mbinguni kwa kuombewa kweli? Yeye ni nani hadi amuondolee mtu dhambi zake na kuingia mbinguni. Ni huyu Gamanywa ninaye mfahamu kweli, ameanguka wapi huyu mtumishi?