PreGE2025 Askofu Gwajima ajibu mapigo. Asema Gwajimanization ni kusema ukweli hata kama hauwapendezi walioko madarakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sijawahi kuwatesa wqtanganyika Sina hoyo nguvu wala nafasi

Tatizo huna hoja

Now what is your main hoja?
Kwahiyo hujui hata hoja ni ipi? Nini?

Hoja ni Gwajima amesema kuwe na utaratibu hata ukitekwa wewe, kaka yako, Mama yako kuwe na mifumo ya haki, kuhakikisha unatendewa haki. Utaratibu, katiba ifuatwe.
 
Shida ni kwamba ukisimamia ukweli unachukiwa badala ya kuchukia vitendo viovu katikati ya maisha ya watanzania wenzetu
 
Kwahiyo sasa hivi shujaa wenu ni Gwaji Boy?
 
Sawa ngoja tuone mwisho wake
 
Magu alikuwa na akili tofauti na huyu Iddi Amini Mama
 
Gwajima yuko sahihi....
Wala kiongozi wetu hakutakiwa kutaja neno Gwajima kwenye hotuba yake hasa katika kipindi hiki.
Kufanya hivyo ni kuruhusu watu waendelee kufuatilia zaidi mambo haya.
Mama ameteleza kidogo.
 
Dah! Mpaka muda huu GwajiBoy anaongoza goli 3, halafu Chura Kiziwi 0. Mbaya zaidi mchezo ndiyo kwanza uko dakika ya 10 tu tangu ulipoanza.
 
Kwahiyo hujui hata hoja ni ipi? Nini?

Hoja ni Gwajima amesema kuwe na utaratibu hata ukitekwa wewe, kaka yako, Mama yako kuwe na mifumo ya haki, kuhakikisha unatendewa haki. Utaratibu, katiba ifuatwe.
Unafahamu role take katika uhuni inthe last regime?

Sitetei uhuni wowote ule na hasa uuaji, utekaji na ufisadi

But does he have the more authority to condemn?

Mtakatishaji? So you know how many people die per year Tanzania due to drugs related issues vs the 83 who disappeared in the past four years of pf which may be 50% hatujui sababu?

When is our highe?

Do we care about society or just politics?
 
Well, what last regime? Ndio sababu mpo madarakani leo kwa sababu ya kazi nzuri ya last regime. Maji, umeme, haki, barabara, hospitali, vituo vya afya, reli, madaraja, mwamba JPM alisimamia.

Huyo mnaye mtetea amewekwa pale, anatembelea nyota, maono, mikakati, kazi ya last regime. CCM ilikufa wakati wa Kikwete kwa wizi, ujambazi, ufisadi.

Hata umeme walikuwa wanaiba. Nyie wasaliti, wahuni sababu mmepewa vyeo, mamlaka, pesa mmerudisha na mnatetea ufisadi, kuuzwa kwa mali zote za umma kwa waarabu. Mali, kodi za umma kumiliikiwa na familia ya kizimkazi na genge lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…