Sio kwa Chadema Ya Lissu na HecheHahaha, aisee Ccm inajua mbinu za siasa. Kuna watu wameingia humu kwa gwajimalization wanaenda na mdundo ule ule wa EL, BM kama ndo mara ya kwanza migogoro ya aina hii kutokea.
Pumbaf kabisaAhame chama achukue fomu. Kwa ujasiri huu upinzani unabeba.
Kweli wewe kiaziUmeandika vizuri, kweli Rais wetu anajirahisi sana, huyo kibwengo alitakiwa ameshashughulikiwa. Huyu IGP naye ni goigoi au anamhujumu Rais. We ujibizane na mtu km Magu? Au mamlaka ya Rais yamepunguzwa? Kwa mtindo huo atamaliza miaka 5 kweli? Sipendi Rais dhaifu anayeweza kuchezewa km wanavyotaka kwa tiketi ya ustaarabu.
Punguza sauti!!sshhiii shiiii!!hata mabeyo anajilaumu !usijali!tumvumilie TU Hadi 2030 ataondoka mbona bado mitano tuuuuuh!Kiprotokali sio vizuri kujibizana na Rais. Ila Rais mwenyewe sasa daaah
Wakuu,
Anaandika Askofu Gwajima masaaa kadhaa baada ya Rais Samia kumpa vitasa hadharani.
Nyie huyu baba ana ujasiri!
"Gwajimanization ni ujasiri usiotetereka wa kusema ukweli, haijalishi ukweli huo ni mchungu au hauwapendezi walioko madarakani. Ni dhamira thabiti ya kutetea maslahi ya Taifa kuliko maslahi binafsi na ni kuinua sauti kwa uthubutu mkubwa bila kuyumba kiasi cha kuisababisha ivume ndani ya himaya za mamlaka na kutikisa misingi ya ufisadi na dhuluma"
View attachment 3351939
"
Shida iko wapi?huenda unayofanya wewe gizani siku yakiwekwa hadharani tunaweza sema ni Bora hata ya Gwajimani kweli jasiri askofu mzima unanyandua na unarekodi video ya kunyandua
Na sasa Vijana wake wanakula mema ya nchi 😂98% nakuapia, hyo 40 ni waliyoamua kutangaza ila ilikuwa zaid ya hyo.
ila mkuu huku duniani kila mtu na tabia yake, lowassa hakuwa na tabia ya kujibizana na mtu, aliachia kanuni za ulimwengu zifanye kazi yake, na zilifanya kwel,
TAL atafanyaje kumzuia Gwaji asichukue fomu na mnavyomfurahia kuwa anakiwasha haswa? Labda na yeye aende kwenye No reform kinyume na hapo ndoo inazidi kuwa nzito.Sio kwa Chadema Ya Lissu na Heche
Raisi samia ni mweupe kichwani kama keratasi. Anafanya MICRO MANAGEMENTKiprotokali sio vizuri kujibizana na Rais. Ila Rais mwenyewe sasa daaah
Gwajimalization of tume.Pumbaf kabisa
Upinzani utabeba kwa Tume ipi?
Mwendo ni No Reforms No Election
ni kupoteza uelekeo kubabaika na anae tapatapa kisiasa gentleman 🐒
Wakuu,
Anaandika Askofu Gwajima masaaa kadhaa baada ya Rais Samia kumpa vitasa hadharani.
Nyie huyu baba ana ujasiri!
"Gwajimanization ni ujasiri usiotetereka wa kusema ukweli, haijalishi ukweli huo ni mchungu au hauwapendezi walioko madarakani. Ni dhamira thabiti ya kutetea maslahi ya Taifa kuliko maslahi binafsi na ni kuinua sauti kwa uthubutu mkubwa bila kuyumba kiasi cha kuisababisha ivume ndani ya himaya za mamlaka na kutikisa misingi ya ufisadi na dhuluma"
View attachment 3351939
Kama anadinda unataka asitomb.e..ni kweli jasiri askofu mzima unanyandua na unarekodi video ya kunyandua
Angekuwa ananyanduliwa yeye ndio ingekuwa ajabu, mwanamume kunyandua si ajabu.ni kweli jasiri askofu mzima unanyandua na unarekodi video ya kunyandua
Nawe nenda ukanyanduliwe, au unaona wivu??🤔🤔 ulitaka AKUNYANDUE WEWE??🤣🤣🤣🤣ni kweli jasiri askofu mzima unanyandua na unarekodi video ya kunyandua
Heche alisema tuweke mpira chini Samia na lissu game ichezwe fear by saa12 asubuhi Samia atakuwa kizimkaziAhame chama achukue fomu. Kwa ujasiri huu upinzani unabeba.
ni kupoteza uelekeo kubabaika na anae tapatapa kisiasa gentleman 🐒