#COVID19 Askofu Gwajima amshukia Waziri Doroth Gwajima. Awataka Mawaziri wa Wizara ya Afya wajiuzulu

Safi sana... kama kweli ndugu...yabidi tuone uwezo wao na akina mkuchika... watu huwa wakitoka huko huwa wanakuwa kimya kama Paschal Mayala...sijui huwa wanatishiwa nini huko kwenye hiyo kamati...
Huyo akifika mbele ya kamati tu ,napendekeza wamdunge chanjo kwanza ili akiwasimulia kondoo wake awe anaongelea uhalisia,Ila sii Kama Sasa,anawadanganya kondoo wake.
 
Hizi script zenu za maigizo mtawapata wasiofikiria!
 
Ibada ya Gwajima Leo itarushwa live kwenye Chanel gani?
 
Kama ilivyo kawaida. Hayuko peke yake. Yeye kipaza sauti tu. Nyuma yake yupo slow slow,yupo bushir, yupo nepe na wengine kibao
Ukweli huyu Chid aliasisi genge lake kitambo sana sasa ndiyo ameamua kuingia front lakini nyuma yake ana watu wengi tena wenye misuli mikubwa ya kisiasa. Huu mpambano siyo wa kitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…