Askofu Gwajima anaandaliwa aje kutuliza Gen Z?

Anategemewa kwenye suala zima la kucheza video za ngono tu
 
Kupishana ndio afya ya mijadala boss. Ukweli haukwepwi kwa style hiyo.
Usipende kuamini hivi vyama kwani uliwahi kutegemea siku moja msigwa atakuwa CCM? au Lowassa siku moja atagombea uraisi akiwa Chadema?watu huwa wanabadilika jitahidi usiwe na chama itakupa amani ya moyo na fikra huru
 
Watu hawana habari na huyo mjinga wenu lissu haya maandamano sio ya chadema mjinga wewe hamna mtu atakaekubali kuhatarisha maisha kisa hayo mavyama yenu
 
Unachanganya ukweli dhidi ya mtu ama taasisi. Tenganisha mambo haya boss. Maana hata nje ya vyama bado ni hao hao watu kwa jina la umma.
 
Naheshimu jazba/matamanio yako, ila sina popote niliposema watu wanaimani na Lisu, bali msukumo mkubwa wa maandamano haya umechangiwa na nani, ambao ni cdm kupitia NRNE. Napenda niwe kama ww, ila nashindwa kuukataa ukweli.
 
Jasusi tumefungua kanisa halafu yeye tunamnyima access lazima waanze kugombea sadaka
 
Mtu pekee anayeweza kuwashusha Gen Z ni Lissu peke yake. Huku kwingine ni kujipa moyo tu, neno moja la Lissu ni maneno elfu ya jasusi
Raila Odinga wa Tz. Kweli siasa ni sayansi ndani ya kipindi kifupi TU jamaa amefanikiwa kubadilisha kabisa upepo wa siasa wa nchi hii
 
Unachanganya ukweli dhidi ya mtu ama taasisi. Tenganisha mambo haya boss. Maana hata nje ya vyama bado ni hao hao watu kwa jina la umma.
Vyama vingi havina ideology vinabebwa na watu ndio maana nimekushauri hivyo ukitaka vyama vyenye ideology vipi kwa wenzetu Kama USA
 
Watu hawana habari na huyo mjinga wenu lissu haya maandamano sio ya chadema mjinga wewe hamna mtu atakaekubali kuhatarisha maisha kisa hayo mavyama yenu
Watu wanataka kuingiza uchama hapa kujipa ujiko
 
Vyama vingi havina ideology vinabebwa na watu ndio maana nimekushauri hivyo ukitaka vyama vyenye ideology vipi kwa wenzetu Kama USA
Hoja yako ni ipi hapa boss, maana nimeshindwa kuielewa, hasa ukizingatia huweki koma ama nukta! Jitahidi kuweka koma, nukta ama alama ya kuuliza ikibi, hapo naweza kujua tofauti ya maelezo kwenye sentesi z/yako.
 
Acha ujinga wa kuingia hayo ma vyama yenu yenye maslai binafsi gen z ni mpango wa nchi sio chadema Wala lissu watu sio wajinga shenzi kama mnadhani mnapambaniwa Ili make madarakani hilo msahau
 
Ukiwa na hoja kabisa kama hoja, huwezi kuwa na jazba. Ukiwa na jazba ni lazima utakuwa unapambana na ukweli. Ukitaka matusi nenda ukajadiliane na kina Rachel Dangwa.
 
Jinga wewe peleka uchama wako huko nyie ndio majizi yanayojifanya upinzani yakipata nafasi yanaenda kuiba majitu kama nyie magufuli aliyasgugulikia. Ulalo ulalo kitendo Cha kuingiza Hilo li chama lenu la majizi yaliyokosa nafasi serikalini nimekuona bongela boya
 
Kwamba mkuu moto utakua sio wa kitoto , nimecheka kijinga sana, hawa ndo maneno wanayoyataka , mpelekee moto mjinga uyo
 
Rachel Dangwa acha jazba, hii mada haina mipaka, kila mtu anachangia anachoona, sio unachotaka. Kama hicho chama wangetaka nafasi serekalini, wangeshiriki uchaguzi.

Magufuli hakuwahi kupambana mafisadi, bali alizuia matumizi ya neno ufisadi. Mtu anayepambana na ufisadi hawi adui wa uhuru wa vyombo vya habari. Inshort Magufuli alikuwa ni mlevi wa madaraka, japo alikuwa mchapa kazi. Na huu ushenzi wa kunajisi box la kura, yeye ndio alikuwa muasisi.
 
Kwamba mkuu moto utakua sio wa kitoto , nimecheka kijinga sana, hawa ndo maneno wanayoyataka , mpelekee moto mjinga uyo
Hawa ukiwaremba wanaanza kukuona mwenzao, ile heshima yako iwepo lazimq uwe na mikwaji mikali.

Huruma si malezi hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…