zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Udhaifu wa kutoungana, na poor media campaign unawacost. Ila ACT/CUF na CHADEMA wakishirikiana kwa Dar bado sioni majimbo mengi yakirudi CCM.Ila chadema muwe wakweli, safari hii dar mmepoa sana. Nawatabiria mnaweza bahatisha jimbo moja tu. Nalo kwa taabu sana
Linaweza kunrudisha sio!!π π π πHata lile bus alilopanda kutoka koromomije bado linafanya kazi, yaani huyo kwa dar bado sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena watamrudisha freeLinaweza kunrudisha sio!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hizi ndizo aina za zero zilizojaa hapo Lumumba π€£π€£π€£Kila mgombea na mbinu zake. Hiyo ni mbinu ya CCM, siyo lazima wengine waige.
Halafu ni ajira pia kwenye hiki kipindi cha kampeni, ila chadema wameamua kuwanyima wasanii ajira.
Wanahubiri ajira, lakini hawatoi ajira.
Ndio mjue mmepitisha shetani kugombea. Mtumishi gani wa Mungu anakuwa na maneno ya hivyo?Bi kidude ana kosa gani hapo mpaka kufananishwa na ugomvi wa kisiasa daah
Na imeanza kweli, baada ya kuona kwao kuna bi kiroboto basi kaamua mambo yawe sawaKazi imeanza
Nani mataga? We tulia mnyooshwe,kila akipita JPM ni kishindo tu.Mataga round hii mmeingia cha kiume mmeanza kutoa vilio π€£π€£π€£
Spana za Lissu zimewaingia kweri-kweri sio rais wala makamu wote wanahaha na jina la Lissu π€£π€£π€£Nani mataga? We tulia mnyooshwe,kila akipita JPM ni kishindo tu.
ndio siasaBi kidude ana kosa gani hapo mpaka kufananishwa na ugomvi wa kisiasa daah
Aliwakataaje mkuu?Sindano zinawaingieni nyinyi, tazama leo hii mama maria alivyo wakataa pale musoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atashinda njaa na sio uchaguziAtashinda asubuhi mapema sana!
Zero ni kudhani kila mtu yupo Lumumba. Ndiyo uwezo wenu Wa kufikiri.Hizi ndizo aina za zero zilizojaa hapo Lumumba π€£π€£π€£
In reality huyu Gwajima ambaye ni mgombea wenu CCM anaweza kufufua mti aliyekufa???Zero ni kudhani kila mtu yupo Lumumba. Ndiyo uwezo wenu Wa kufikiri.
Wengine tunaangalia reality, nyie mnaangalia kimahaba
Asubiri aje kudhalikishwaKazi imeanza
Mume halali wa E.BHuyo ndiye kiboko ya magamba, anaitwa sauti ya zege.. A. K. A.. Adam Bakari
Sent using Jamii Forums mobile app
No akakojoe kwanza
Hayo unayajua wewe maana inaonekana nawe ni mwanachamaMume halali wa E.B