Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Anayetakiwa kuchechemea ili CCM tushinde, atachechemea...

Hivi bi kiduke na Mdee alivyosema gwajima mrembo nani ni nani
 
Bi kidude ana kosa gani hapo mpaka kufananishwa na ugomvi wa kisiasa daah
Inashangaza sana kwa kweli kumtaja marehumu asiye na kosa lolote kisa mtu apate kiki tu, hata mama masamia nimemdharau sana nilidhani ana busara kumbe bure kabisa
 
Wewe unapigania mwana koromomije mwenzio, tuankuelewa ila huyo Gwajima alimkashifu sana kadinali pengo, hatuwezi kusahau hilo na tutamchapa sana kwenye uchaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu askofu uchwara kala maharage ya wapi?

Kwanini anamtumia Bi kidude kuwatusi wengine?

Anamfahamu vizuri marehemu Bi kidude kweli? An icon of swahili music!

Yaani kwake mtu kuwa Bibi kidude ni tusi?
 
Askofu kura yangu umeikosa
 
Tumemsikia mrembo, sasa tunasubiri pambano kati ya mrembo na bi kidude
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…