Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Anayetakiwa kuchechemea ili CCM tushinde, atachechemea...

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Anayetakiwa kuchechemea ili CCM tushinde, atachechemea...

Kwani Bi Kidude alikuwa wa hali gani?,duni?,
 
Askofu Josephat Gwajima amesema kuwa yule Bi. Kidude wa Chadema ni halali yake na kazi ya kumshinda ataifanya law hakika.

Amemueleza Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu kuwa wasiwe na wasiwasi kwani ugoro umeingia puani sasa ni mwendo wa chafya tu.

Ameyasema hayo akitoa neno katika mkutano wa Kampeni wa Makamu wa Rais, katika Uwanja wa Mwembeyanga Temeke.View attachment 1559570
Sasa Gwajima mandingo wa video za ngono ndo anamsema mdee??
 
Bi kidude ana kosa gani hapo mpaka kufananishwa na ugomvi wa kisiasa daah
nashindwa kuelewa,au kosa lake ilikuwa kuishi muda mrefu duniani, au kazi yake ya sanaa ilikuwa kero, inashangaza na nakosa jibu
 
Mdee naomba ile clip ya Gwaji akla Kondoo itakusaidia kujibu hili, usitie neno, clip itaongea.
Clip Gwaji akitumia sekunde 10 kupiga mao, mshirika ikabidi a-fake kafika kileleni kumbe wapi
 
Tungekuwa tumepoa tungezunguka na wasanii kwenye mikutano yetu.
Kila mgombea na mbinu zake. Hiyo ni mbinu ya CCM, siyo lazima wengine waige.
Halafu ni ajira pia kwenye hiki kipindi cha kampeni, ila chadema wameamua kuwanyima wasanii ajira.

Wanahubiri ajira, lakini hawatoi ajira.
 
Yaan bibi wa watu wamemchukulia kama hana umuhimu wowote au comedian wa kutolewa mifano ya dhihaka.
nashindwa kuelewa,au kosa lake ilikuwa kuishi muda mrefu duniani, au kazi yake ya sanaa ilikuwa kero, inashangaza na nakosa jibu
 
Gwajima umekosea saana kusema Halima ni Bi Kidude wa Chadema....hapa ni wazi kabisa ulikuwa na agenda mbaya ya kumtaja Bi Kidude na Inshaallah kwa uwezo wake ALLAH utayapata majibu yako papa hapa duniani
 
Askofu Josephat Gwajima amesema kuwa yule Bi. Kidude wa Chadema ni halali yake na kazi ya kumshinda ataifanya law hakika.

Amemueleza Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu kuwa wasiwe na wasiwasi kwani ugoro umeingia puani sasa ni mwendo wa chafya tu.

Ameyasema hayo akitoa neno katika mkutano wa Kampeni wa Makamu wa Rais, katika Uwanja wa Mwembeyanga Temeke.View attachment 1559570
Deo upo? Vipi Tarime unagombea tena? Hahhaha au unaogopa kuambulia kura 300 jimbo zima?

Badala ujiendeleze kisiasa, Umekalia kupost mipasho ya kike!! Unatia huruma sana kijana
 
Back
Top Bottom