View attachment 2048184
Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi.
kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
Kwahio Sasa Kuna Kiroboto vs Wahuni vs Amaleki
SHERIA IANGALIE UPYA BAADHI YA HAYA MAKANISA AMBAYO HUWA YANACHUKUA MUDA MWINGI ZAIDI KUHUBIRI HABARI ZA CHUKI NA SIASA BADALA YA KULISHA WAUMINI CHAKULA CHA KIROHO UPENDO UMOJA MSHIKAMANO NA KUMLILIA NA KUMSUJUDIA MOLA WETU JUU YA USTAWI MWEMA WA TAIFA LETU NADHANI WIZARA YA MAMBO YA NDANI IPITIE SAJILI ZAO UPYA WAKUMBUSHWE MAJUKUMU YA LESENI ZAO [mpwa wangu simbachawene wakumbushe wana]
Hawa jamaa wanapendaga issue izo yaani ni kuharibu tu hawajali ni watoto wao kiumri au ni wake za watu yaani wao ni vita tyuuQmaninerrrr ajivue uanachama n.a. ubunge kwanza afanye toba kisha ndiyo afunge, zilipendwa huyu, kiroboto.
Huyu askofu aliyekutwa na mrembo guest😀😀😀, maneno ya shemeji Doro.
Everyday is Saturday................................😎
Bado tu anaitwagwa na ccm tu??View attachment 2048184
Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi.
kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
#hiting target mh simbachawene miiko ya haya makanisa ni muhimu mno wafuate miiko na jinsi leseni zinavyowaruhusu siamini kama hazina mipaka na kama hazina mipaka basi ni wakati wa kuiwekaHaya yamesemwa toka wakati Baba yako ndo ananitongoza Mama yako amle ili amtoroshe!
Issues za dini are most difficult to handle, weather ni za kutapeliwa or not,
Halafu uache ujinga, mbona huna writing skills? Miherif mikubwa yote ya nn?
Huu ni uhainiView attachment 2048184
Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi.
kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
Mh! Mkuu, kilichomuweka super glue ni hiyo ziara kweli?Gwajima toka atembelewe na Samia jimboni kwake na kuahidiwa kutatuliwa kero zake alifunga mdomo, iweje leo akurupuke ghafla? usanii tu.
Polepole ndie anawahenyesha CCM kwa sas na ndie anaetafutwa, sio huyo zilipendwa.
Nchi hii tukiruhusu watu wa mikoa ya pwani wapewe uongozi ndani ya chama na serikali katika nyazifa kubwa na wakawa wengi amini nawaambieni wanayo agenda inahitaji jicho lacziada kuona hili, usaliti wao na ujuha wao dhidi ya watu wa mikoa mingine ni mbaya sana. Kumbukeni Samia alikuwpo enzi za Magufuli. Pamoja na uwepo wa akina kina Kinana, Mangula, Chongolo etc mtambue sasa wenye ushawishi na nguvu ni hao wa mikoa ya pwani, time will tell. Hapo anatafutwa Gwajima na Polepole. Jerry yeye had more to do with intellectual ideas on tax collectivism. Inclussive tax agendas, The amazing Jerry Slaa japo mkiburi akisha nyadhifa kubwa, enzi za Umeya ilikuwa hatariView attachment 2048240
Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi.
kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
Je Amelek yuko tayari?View attachment 2048240
Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi.
kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
Mtanange mkaliKwahio Sasa Kuna Kiroboto vs Wahuni vs Amaleki
Rashid Arudi Madrasa Afundishe Mpaka Sasa Hivi Analipwa Yote Aliyoyatenda Kwa HilaMtanange mkali