Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kawe

Kumbuka kwao ni wapi vile?
Gwajima alisema yeye ni zaidi ya mbunge na kwamba hana mpango wa kugombea ubunge imekuwaje tena mbona amekuwa mtu wa kauli mbili!
 
Mshengaaa!

Historia iko upande wa Dr Slaa,hata kama wanajifanya kutokulitambua hili lakini muda unazidi kupembua pumba na mchele!

Hapo Mdee hana chake!
 
Mshengaaa!

Historia iko upande wa Dr Slaa,hata kama wanajifanya kutokulitambua hili lakini muda unazidi kupembua pumba na mchele!

Hapo Mdee hana chake!
Historia ipi ya Slaa? au kununuliwa akaenda canada kufichwa na CCM? Huko kawe CCM watapora uchakachuaji tu lakini sanduku la kura wananchi watamchagua mdee tu
 
J. Gwajima ni tumaini jipya kwa wana Kawe!

Tumuunge mkono !
 
Kwani watakuja wana CCM wengine au yeye ndiyo atasimama pekee kwa jimbo hilo kupitia ticket ya CCM?

Yani kwamba ameshapitishwa kwenye kura ya maoni au bado?
 
Sadaka za waumini ZIMEKATIKA sasa tapeli gwajima anataka kuhamia kwenye utapeli mjengoni.

 
Lakini kawe wapiga kura watamchagua Mdee ingawa mkurugenziccm atamtangaza mshindi hewa wa CCM kwa njia haramu.
Uongo mbaya,Gwajima ana convincing capacity kubwa sana,ninavyowajua wapiga kura lazima watamchagua Gwajima.Akisema atawaletea wafadhili kutoka Japan watatue kero za Kawe. Ujue hapo ni kura za ndiyo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…