Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Sijui kama CCM watampitisha ila huyo jamaa ni popular huko makanisani ambao ndio wapiga kura.... nakushauri usipime kina cha maji kwa macho....
Wakatoliki hawataki hata kusikia jina lake wanakumbuka alivyomtusi Cardinal Pengo
Jamani sio vizuri kuanza kuleta maswala ya udini kwenye uchaguzi.
Kuendekeza mambo hayo hakuta tusaidia kuleta maendeleo!
Nashauri hivyo kama Raia Mwema !
sawa kabisa ni haki yake ruksaNi haki yake, Ajaribu akipata Sawa asipopata sawa
Ni haki yakeSasa 'comedy squad' inaenda kukamilika bungeni, yaani, 'just imagine', Musukuma, Kibajaji, ..... na sasa GWAJIMA! 😅
NI SHIDAAA!
👊 ✌✌✌💥
Aende kolomijeIla sio huko anakogombea sio
Jamani amekimbia tena jimbo la kolomijeView attachment 1494766
Askofu Josephat Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na leo amefika kwenye ofisi za chama hicho kupewa utaratibu.
Kuhusu kuunga mkono UKAWA mwaka 2015, amesema hajawahi kuwa mwanachama wa CHADEMA, ila hutetea haki wakati wote.
Huyo hapati hata asilimia 20 ya kura labda wamebebe kwa kutumia Polisi na Tume yao.
Wajasiliami wa kidini wanajulikana na hawakubaliki popote pale.
Baada ya October itunze hii comment utajicheka baadae halima mdee hawezi kutoboaKama kawaida ataangukia PUA!
Watch this space!
Ni kweli aliwahi ongea hivyo uko sahihikama sijasahau aliwahi sema yeye ni zaidi ya rais yaan rais ni cheo kidogo sana kwake
Kamanda yamekua hayo? Zipo thread zako nyingi tu humu zikimsifu kwamba anajitambuaHuyo hapati hata asilimia 20 ya kura labda wamebebe kwa kutumia Polisi na Tume yao.
Wajasiliami wa kidini wanajulikana na hawakubaliki popote pale.