Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Kama kawaida ataangukia PUA!
Watch this space!
Sadaka hazitoshi mkuu, wacha watu waelekee uwanja wa Fisi, CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kawaida ataangukia PUA!
Watch this space!
Kuna mazengwe kwelikweli, acha hicho inachoita zengwe. Nani alikuambia akili na uchizi unamilikiwa na watu fulani tu? Mwaka huu kuna akili kubwa zaidi ya unayoifikiria inaingia kwenye uchaguzi huu. Unafikiri mikakati wanayo wao tu?Mkuu, uweke akiba ya maneno.
Safari hii miss Mdee ana mtihani.
Zengwe lishaundwa hapo kuna moshi mweupe na mzito juu ya Kawe.
Kawe na Kigamboni kwa sasa ni majimbo ya kimkakati.
Na mimi nimetumia theory ya kutotabirika! na hapa sitabiri!Usiseme hivyo mkuu, siasa haitabiriki.
Hivi ameshasahau maneno yake? Alisema yeye hata kuwa rais ni kujishusha kwani kwani kuwa mtumishi wa Mungu ni zaidi ya ufalme wa duniaNi haki yake, Ajaribu akipata Sawa asipopata sawa
Kwani kugombea ubunge ni mashindano ya kuongea kwa haraka??
Acha hizo jombaaa!!!))
Amemrahisishia Halima Mdee kazi asante sana.
Kanisa imemshinda baada ya ile video
Ya kaizari na ya Musa kayachanganyaNi haki yake, Ajaribu akipata Sawa asipopata sawa
Viongozi wa dini na wale wa kisiasa wanafanana katika jambo moja kuu, ambalo ni kuishi kwa jasho la mlalahoi. Tangu enzi na enzi, mlalahoi amefungwa nira za siasa na dini (unyonyaji uliohalalishwa)...
Kitapaki pale Airport karibu na jamhuri stadiumKwa hiyo Chops kitakuwa kina paki pale Mjengoni kwa nje ama wapi.?Nitakuwa miongoni mwa wageni.Sikh ya kuapishwa nipande japo Helikopita
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Gwajima huyu huyu si ndiye alitajwa kujihusisha na dawa za kulevya kwenye listi ya Makonda?!
HahahahaAlaaa kumbe?!
Ngoja tusubiri mchujo wa kura za maoni!
Wakifanya makosa hapo jimbo watalipoteza tena kwa mara nyingine
Upo sahihi kusema Halima hatatoboa,ni haki yako.Baada ya October itunze hii comment utajicheka baadae halima mdee hawezi kutoboa
Hazina ya taifa !!!! Mh naona umeandaliwa kumimina misifaSana, ni hazina kwa taifa hili, ni wachacje sana