Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kawe

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kawe

Mkuu, uweke akiba ya maneno.

Safari hii miss Mdee ana mtihani.

Zengwe lishaundwa hapo kuna moshi mweupe na mzito juu ya Kawe.

Kawe na Kigamboni kwa sasa ni majimbo ya kimkakati.
Kuna mazengwe kwelikweli, acha hicho inachoita zengwe. Nani alikuambia akili na uchizi unamilikiwa na watu fulani tu? Mwaka huu kuna akili kubwa zaidi ya unayoifikiria inaingia kwenye uchaguzi huu. Unafikiri mikakati wanayo wao tu?
 
Hivi Gwajima huyu huyu si ndiye alitajwa kujihusisha na dawa za kulevya kwenye listi ya Makonda?!
 
Natabiri Gwajima atakuwemo ktk baraza la Mawaziri lijalo...
 
Nimeishia kuguna tu, sijui kucheka. Haya Kama ni Mungu aliye hai kamruhusu aingie ktk siasa Mungu awe naye, lakin kama ni akil zake zimempeleka huko Mungu pia amsaidie akae sawa asije kupotea kabisa

Mungu ampe hekima
 
Gwajima ni mlafi wa madaraka na kujiongezea kipato
Viongozi wa dini na wale wa kisiasa wanafanana katika jambo moja kuu, ambalo ni kuishi kwa jasho la mlalahoi. Tangu enzi na enzi, mlalahoi amefungwa nira za siasa na dini (unyonyaji uliohalalishwa)...
 
WANAZENGO msilete ile clip akipuua baada ya dakika ya kwanza, tafadhali sana
 
Baada ya October itunze hii comment utajicheka baadae halima mdee hawezi kutoboa
Upo sahihi kusema Halima hatatoboa,ni haki yako.

Na mimi nipo hapa kusema Gwajima ni mavi na hatatoboa,ni haki yangu..

Uzuri baada ya uchaguzi tuje hapa tu-verify.

Haina shida Mkuu!
 
Huyu mtu inaonekana alikua na nia ya kuingia bungeni ila akaona ngoja atengeneze jina na umaarufu sasa ameupata. Sasa ni muda wake kuwageuza waumini wake kuwa kura
 
Gwajima ndo atapeleka hoja ya Rais aongezewe muda. Huko Russia wananchi wamepiga kura kumuongezea Putin muda mpaka 2036.
 
Back
Top Bottom