Askofu Gwajima aushangaa ubalozi wa Marekani kuzungumzia suala la Mbowe aliyedondoka au kuvamiwa

Askofu Gwajima aushangaa ubalozi wa Marekani kuzungumzia suala la Mbowe aliyedondoka au kuvamiwa

Akizungumza katika kipindi cha Aridhio kinachorushwa mubashara na TBC, askofu Gwajima amesema balozi wa Marekani nchini hapaswi kuingilia mambo ya ndani ya taifa letu.

Gwajima amesema juzikati balozi wa US amezungumzia swala la Mbowe aliyeanguka au kuvamiwa na kuacha kuzungumzia mambo ya nchi yake ambako askari wamemuua raia mwenye asili ya Afrika kinyama kabisa.

Askofu Gwajima amewataka Watanzania kuwa macho na mabeberu hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi.

Source TBC Aridhio!
Sisi ni global village ni sehemu ya dunia hivyo wanayo haki ili kuepusha gharama za kuhudumia wakimbizi, kumbuka waafrika ni mabingwa mahiri wa kuzalisha wakimbizi duniani lakini hawana uwezo wa kumudu kuhudumia wakimbizi mzigo wanawaachia weupe.
 
Akizungumza katika kipindi cha Aridhio kinachorushwa mubashara na TBC, askofu Gwajima amesema balozi wa Marekani nchini hapaswi kuingilia mambo ya ndani ya taifa letu.

Gwajima amesema juzikati balozi wa US amezungumzia swala la Mbowe aliyeanguka au kuvamiwa na kuacha kuzungumzia mambo ya nchi yake ambako askari wamemuua raia mwenye asili ya Afrika kinyama kabisa.

Askofu Gwajima amewataka Watanzania kuwa macho na mabeberu hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi.

Source TBC Aridhio!
Ajikite kwenye injili siasa hawezi yule atakufa kipo si chake mwambieni
 
Kuna Watumishi wa Mungu na kuna Watumishi wa shetani ambao wamegeuza imani za watu kama mitaji au chanzo chao cha mapato(wajasiriamali wa kidini).

Ni jukumu lako kumtambua kiongozi wako wa kidini anaangukia kundi gani.
Afrika mashariki viongozi wa dini wapo Kenya pekee,kule uwakemea waovu live bila kupepesa waache dhambi.Hawa uwakaribisha Hadi madhabauni ili wasikose sadaka.Mitume na manabii walisimamia kweli awakujifungamanisha na matawala dhalimu hata kuhatarisha maisha yao kwa ajili ya watu wanaonewa.
 
Tapeli wa kutumia bibilia yuko kazini
Hana tofauti na mwenzake Mashimo ambaye watu wamemshtukia hadi mitaani. Tofauti yao ni kuwa mmoja ana hela mwingine bado anazisaka

Safi sana, nimekuwa nikitafakari huu ubalozi wa Marekani nchini mwetu Nabaki kushangaa, inafikia kipindi wanaanza kuzungumzia mambo personal ya nchi yetu

Mbona sioni ubalozi wa China, Italy, Sweden, Norway nk ukijihusisha na mambo yetu?

Mtumishi wa mungu ndugu Gwajima kaona mbali, Mungu ambariki sana

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Hizo nchi zinahudumia wakimbizi kwani umeshawahi ona
 
Akizungumza katika kipindi cha Aridhio kinachorushwa mubashara na TBC, askofu Gwajima amesema balozi wa Marekani nchini hapaswi kuingilia mambo ya ndani ya taifa letu.

Gwajima amesema juzikati balozi wa US amezungumzia swala la Mbowe aliyeanguka au kuvamiwa na kuacha kuzungumzia mambo ya nchi yake ambako askari wamemuua raia mwenye asili ya Afrika kinyama kabisa.

Askofu Gwajima amewataka Watanzania kuwa macho na mabeberu hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi.

Source TBC Aridhio!
Nimecheka sana, Gwajima ameisha ile mbaya.....
 
Marekani haina barozi hapa, bali ina kaimu barozi wa Beberu, huyu beberu anapaswa apigwe nondo za kwenye madhabahu km alivyofanya gwajima,

Huyu kaim barozi nikweli kaimu balozi, nahatakaa awe barozi kamili, mtu alewe FARU JOHN aanguke umtolee staatments!

Uzuli nikwamba , tunapambana na maadui tunaowafaham kwa majina, kwa rangi zao, kimo, na hata miondoko yao!

Nauzuri nikwamba ... wanapigana vita nayule anaemtegemea mungu asiyeonekana kwa jicho la kibinaadam,
Wanapigana vita na bwana wa majeshi, mungu wa miungu, bwana wa mabwana.
Watapata taabu saana.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Leo gwajima kawa muhuni? Mshenga mliyekuwa mnamsifu kwa kumleta lowasa chadema na kumdharirisha Dr Slaa? Kuwa mpinzani Tanzania inabidi
matumizi ya akili uachane nayo!

Tafuta popote nilipowahi kumsifu Gwajima kwa kumleta Lowassa cdm, au hata huyo Lowassa mwenyewe kuja cdm, ukipapata uje tuendelee na mjadala.
 
Hii Jamii sababu ya laana ya kuuwa vikongwe kauli zao nyingi ni za kuchochea machafuko na si amani,si heri James,jiwe, bashite,katambi,king msukuma, Mchungaji mashimo nk kauli zao hazina uhai kwa taifa.
Kama heri anaomba polisi wawaachie wawapige wawakatekate wapinzani sababu washazoea kuwakata vikongwe.Ni makosa makubwa Sana kuwapa leseni za udereva hizi jamii ndio chanzo cha kuvunja amani yetu.Zinawakandamiza zinawaonew Sana watu wakati huohuo wanaonewa si haki yao kupinga uonevu.Ni Jamii inayopenda Sana ligi na bifu za kishamba Shamba Sana kuliko bifu za maendeleo
 
Mungu akubariki baba askofu kwa kuisimamia kweli. Marekani badirisheni huyu kaimu wenu hana confidence ya kazi anaokota okota kila kitu ili apate confirmation ya kazi
 
Akizungumza katika kipindi cha Aridhio kinachorushwa mubashara na TBC, askofu Gwajima amesema balozi wa Marekani nchini hapaswi kuingilia mambo ya ndani ya taifa letu.

Gwajima amesema juzikati balozi wa US amezungumzia swala la Mbowe aliyeanguka au kuvamiwa na kuacha kuzungumzia mambo ya nchi yake ambako askari wamemuua raia mwenye asili ya Afrika kinyama kabisa.

Askofu Gwajima amewataka Watanzania kuwa macho na mabeberu hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi.

Source TBC Aridhio!
Part two ya movie yake ya porn anatoa lini? Asifikiri tumesahau sauti yake akikoroma kama beberu alipokuwa akila ile kipochi-manyoya ya yule kondoo wake mweupe!
 
Mkuu huyu si Mtumishi wa Mungu ni mhuni na tapeli tu.
Alikuwaga mtumishi wa Mungu 2015, Mwamba alipoingia dili la kuwasaidia CCM kusimamisha wagombea wawili wa URAIS.
 
Alikuwaga mtumishi wa Mungu 2015, Mwamba alipoingia dili la kuwasaidia CCM kusimamisha wagombea wawili wa URAIS.
Ajawahi kuwa mtumishi wa Mungu.Makanisa yote yaliyosajiliwa kwa wino wa pencil ni lzm yaunge juhudi kwenda kinyume ni kuhatarisha uwepo wao.
 
Si ushasema ubalozi ni wamarekani. Marekani ndo tabia yao hiyo, kuona vijiti kwenye macho ya watu wengine ikiwa wao wana maboriti
 
2015 is not 2020! He has turned into a devil. Hivi wanaosali kwa tapeli hilo huwa wana akili timamu? Unakuta hata mwanaume mzima linakwenda kusali huko! Mwanaume limekufa mboo eti linakwenda kwa gwajima amuombee! Mwanamke hazai eti tapeli gwajima amuombee!
1591944733598.png

😂😂😂😂😂😂
 
Usilazimishe kuniwekea maneno ambayo sijawahi kuyaandika kuhusu huyo mhuni na tapeli.

Alikuwaga mtumishi wa Mungu 2015, Mwamba alipoingia dili la kuwasaidia CCM kusimamisha wagombea wawili wa URAIS.
 
Safi sana, nimekuwa nikitafakari huu ubalozi wa Marekani nchini mwetu Nabaki kushangaa, inafikia kipindi wanaanza kuzungumzia mambo personal ya nchi yetu

Mbona sioni ubalozi wa China, Italy, Sweden, Norway nk ukijihusisha na mambo yetu?

Mtumishi wa mungu ndugu Gwajima kaona mbali, Mungu ambariki sana

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Sijaelewa kitu gani kimemsibu Gwajima aka nabii fake, kiasi kwamba kwa sasa na yeye anaunga Juhudi za mheshimiwa.
 
Back
Top Bottom