Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Sisi ni global village ni sehemu ya dunia hivyo wanayo haki ili kuepusha gharama za kuhudumia wakimbizi, kumbuka waafrika ni mabingwa mahiri wa kuzalisha wakimbizi duniani lakini hawana uwezo wa kumudu kuhudumia wakimbizi mzigo wanawaachia weupe.Akizungumza katika kipindi cha Aridhio kinachorushwa mubashara na TBC, askofu Gwajima amesema balozi wa Marekani nchini hapaswi kuingilia mambo ya ndani ya taifa letu.
Gwajima amesema juzikati balozi wa US amezungumzia swala la Mbowe aliyeanguka au kuvamiwa na kuacha kuzungumzia mambo ya nchi yake ambako askari wamemuua raia mwenye asili ya Afrika kinyama kabisa.
Askofu Gwajima amewataka Watanzania kuwa macho na mabeberu hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi.
Source TBC Aridhio!