#COVID19 Askofu Gwajima: Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi

Huyu tapeli Gwajima ngoja amkaange mama hadi akili zimkae sawa. Haya ndio madhara ya kuchanganya dini na siasa. Kura walizoiba mwaka 2020 sasa zimeanza kuwaehua. Na huyu Gwajima atakuwa amekumbwa na PEPO la wizi wa kura.
 
Kuna wapumbavu wamempandikizia Mbowe makosa ya Ugaidi wakati huo huo kiongozi wa magaidi Gwajima yupo ubungo anabwabwaja tu
 
Mmhh..! Hii sasa inazid kiwango cha kawaida cha maoni. Hii jamaa inajivunia k2 gan hasa😀
 

Gwajima ameshajua wanaomfuatilia ni wapenda drama, vituko na wajingawajinga hivyo ataendelea kuwalisha ujinga kama mtaendelea kumpa sadaka. Sadaka haiendi mbinguni inaenda tumboni kwa Gwajima 🤔 huyu ni mfanya biashara
 
Hivi kukataa kuchanjwa ni tusi ?
Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
 
Ngoja waendelee kumchekea wataisoma namba
 
Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Ni waoi katukana?
 
Lisu au mbowe angekua msilamu dunia ingewaka moto kwanini nyie watu huwa hamuwez kuwaza beyond dini hii ni inferior complex au ignorance of highest level?
Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
 
Wakala wa chanjo naona akili imeanza kukurudia
 
Mpaka sasa watu laki mbili wamechanjwa zaidi ya siku kumi zimepita
It will take us 5 years to vaccinate 30,000 (50%) of the population
Tujitokeze tukachanjwe
Hao ni wale viherehere, Ila waliobaki ndio ambao hawataki kusikia chanjo. Hivyo number lazima ishuke sana
 
Kwani yule Afisa Elimu wa Arusha ambaye mpaka amesimamishwa kazi ni uongo? Tatizo lenu mnamajibu tayari ya viongozi wengine!!
 
Peleka huko chokochoko za udini... Koma kujaribu kuibua uzushi wa udini zama hizi...

Huoni bi mkubwa anavojaza waisilamu kwenye serikali yake, Wakristo nao wakinyanyua hoja za udini unapakwenda?!

KOMA
We Mdini sana!

Leta data kwenye yafuatay:
Kwenye mawaziri waislam ni % ngapi?
makatibu wakuu waislam ni % ngapi?
Wakuu wa Mikoa waislam ni % ngapi?
Wakuu wa wilaya waislam ni % ngapi?
Wakurugenzi walioteuliwa majuzi waislam ni % ngapi?

Hivi hizi tabia za kujadili teuzi kwa kuangalia dini zao na sio taaluma na uwezo wao. Stupid mindset.
 
Na bado kila mwaka sasa itabidi uchanjwe la sivyo itabidi ufe tu hata na ugonjwa wowote kwa kuwa immunity yako ya asili umeshaiharibu mkuu. Pole sana!
 
Ndio mjuwe kuna siri hatuzijuwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…