#COVID19 Askofu Gwajima: Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi

Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Tusi liko wapi hapo!?

Ndo matatizo ya kuwa na ubongo mdogo kama wa mende
 
Kitendo cha kuikashifu serikali kila kukicha kwa maamuzi yake maana yake ni kumkashifu kiongozi wake,kwani asiyetaka kuchanjwa ni yeye tu mbona hatusikii hizo kelele kutoka kwa wengine? Ana lake jambo huyo mbwa.
Mbwa baba yako
 
Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Punguza hisia za udini....
 
Na bado kila mwaka sasa itabidi uchanjwe la sivyo itabidi ufe tu hata na ugonjwa wowote kwa kuwa immunity yako ya asili umeshaiharibu mkuu. Pole sana!

Mkuu sihitaji pole yako. Nitaendelea kuwasikiliza wataalamu na kupokea chochote kutoka kwao tena mikono miwili.

Tambua taabu yangu ni hawa watawala waongo. Kuna habari walishachanjwa mapema tena Pfizer. Sina taabu na chanjo yoyote tokea USA.

Nina taabu na uongo na janja zao. Ninamuunga mkono Gwajiboy kwenye hilo. Lakini si kwenye kuhamasisha watu wasichanjwe.
 
Kuna Dr. huko kwetu amechanja bila kupima afya yake amekufa!
 
Kitendo cha kuikashifu serikali kila kukicha kwa maamuzi yake maana yake ni kumkashifu kiongozi wake,kwani asiyetaka kuchanjwa ni yeye tu mbona hatusikii hizo kelele kutoka kwa wengine? Ana lake jambo huyo mbwa.
Mbwa mwenyewe
 
Gwajima anatakiwa kuchukuliwa hatua za kinadhamu A.S.A.P .... Hawa sio wakuvumiliwa wakati huu kabisa . Watu tunapoteza ndugu zetu kila siku yeye anafanya utani aiseee....Mpumbavu mwili mzima .
Kwahiyo mkishachanjwa ndo hamtapoteza ndugu tena?,ugonjwa ni Corona tu!?.. na kuchanjwa kunazuia usife!?.. wewe kumbe ndo MPUMBAVU na K.. kabisa ..
 
Mbona CHADEMA mnapenda kutafuta huruma na kuamisha mada,kwani Mbowe yupo LUPANGO kisa amekataza watu wasipewe CHANJO au UGAIDI?
 
mwenzake nae aliongea kauli hizo hizo sasahv yuko mavumbini chato, so ni swala la muda tu
Kwani ww unavyoongea hvyo, hutokufa??
Watu wengine mna Roho mbaya kuliko kawaida.
Utakufa tu hata ww unayefurahia vifo vya wengine....huenda utaanza ww kabla ya hao unaowaombea wafe
 
Mbowe uheshimiwa anautoa wapi mkuu? [emoji848]
 
Pambana na Hali yako mkuu, si ulikuwa unalilia chanjo...haya sasa.
Na unadhani Ni sifa kuchanja.na kuona wanaopinga chanjo Hadi huko chanjo ilikotengenezwa Ni mabwege.
 
Mdude baada ya kutoka jela, unakumbuka alisema nini kwenye mkutano wa CHADEMA? Mbona yeye asikamatwe ila akamatwe Gwajima?
 
Gwajima anatumia uhuru wake.
Haya ndiyo madhara ya kuruhusu viongozi wa kidini wagombee nafasi za kisiasa. Lazima kuwe na mgongano wa maslahi. Kilichotakiwa ni kuwa kiongozi wa kidini akiamua kugombea nafasi za kisiasa anatakiwa ajiuzu uongozi wake abaki muumuni wa kawaida.
 
Mdude baada ya kutoka jela, unakumbuka alisema nini kwenye mkutano wa CHADEMA? Mbona yeye asikamatwe ila akamatwe Gwajima?
Mdude alisema wembe ule ule aliokuwa anamnyolea Magufuli ndiyo huo huo atamnyolea Samia. Kuna tusi gani hapo? Gwajima ametoa tuhuma mbaya sana kwa viongozi wa serikalina implication zake ni kubwa! Ina maana rais Samia anatapeli wananchi siyo?
 
Acha uchochezi! Gwajima kamtaja kiongozi aliyefake Arusha, na ambaye anajulikana na serikali imemchukulia hatua. Unapotunga sentensi nusu ya alichoongea Gwajima ili wasioelewa wahitimishe alimsema Mkuu wa nchi ni ujinga tu wa akili yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…