Wewe ulimuona Freeman Mbowe akichanjwa!
..Gwajima ametuhumu viongozi wa SERIKALI.
..Hajamtuhumu Mbowe au Chadema kwa kudungwa feki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulimuona Freeman Mbowe akichanjwa!
Tusi liko wapi hapo!?Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Mbwa baba yakoKitendo cha kuikashifu serikali kila kukicha kwa maamuzi yake maana yake ni kumkashifu kiongozi wake,kwani asiyetaka kuchanjwa ni yeye tu mbona hatusikii hizo kelele kutoka kwa wengine? Ana lake jambo huyo mbwa.
Punguza hisia za udini....Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Na bado kila mwaka sasa itabidi uchanjwe la sivyo itabidi ufe tu hata na ugonjwa wowote kwa kuwa immunity yako ya asili umeshaiharibu mkuu. Pole sana!
Kuna Dr. huko kwetu amechanja bila kupima afya yake amekufa!Mkuu sihitaji pole yako. Nitaendelea kuwasikiliza wataalamu na kupokea chochote kutoka kwao tena mikono miwili.
Tambua taabu yangu ni hawa watawala waongo. Kuna habari walishachanjwa mapema tena Pfizer. Sina taabu na chanjo yoyote tokea USA.
Nina taabu na uongo na janja zao. Ninamuunga mkono Gwajiboy kwenye hilo. Lakini si kwenye kuhamasisha watu wasichanjwe.
Mbwa mwenyeweKitendo cha kuikashifu serikali kila kukicha kwa maamuzi yake maana yake ni kumkashifu kiongozi wake,kwani asiyetaka kuchanjwa ni yeye tu mbona hatusikii hizo kelele kutoka kwa wengine? Ana lake jambo huyo mbwa.
Kwahiyo mkishachanjwa ndo hamtapoteza ndugu tena?,ugonjwa ni Corona tu!?.. na kuchanjwa kunazuia usife!?.. wewe kumbe ndo MPUMBAVU na K.. kabisa ..Gwajima anatakiwa kuchukuliwa hatua za kinadhamu A.S.A.P .... Hawa sio wakuvumiliwa wakati huu kabisa . Watu tunapoteza ndugu zetu kila siku yeye anafanya utani aiseee....Mpumbavu mwili mzima .
Kwani ww unavyoongea hvyo, hutokufa??mwenzake nae aliongea kauli hizo hizo sasahv yuko mavumbini chato, so ni swala la muda tu
Mbowe uheshimiwa anautoa wapi mkuu? [emoji848]View attachment 1893352
"Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi. Inapofika mahali pa kuilinda Tanzania dhidi ya majanga, simuogopi mtu yeyote, siogopo kitu chochote hatuchanjwi"
Askofu Josephat Gwajima akizungumza kanisani kwake leo.!
My Take
Hii imevuka mipaka. Lakini mambo haya hayatokei bahati mbaya. Samia Suluhu umemuonea sana Mh.Mbowe acha upigwe tu mpaka utie akili.
Unaweza kuta ww ndio chizi!"Nileteeni Gwajimaaaa!!!"...kumbe ni chizi mwenzake.
JibwaMbwa mwenyewe
Pambana na Hali yako mkuu, si ulikuwa unalilia chanjo...haya sasa.Binafsi nimechanjwa na kwa siku 3 kutokea nilipochanjwa nilikuwa na headache ya hatari kuweza kufanya lolote. Hata kutembelea JF tu ilikuwa kwa mbinde.
SSH aliendelea na shughuli zake?!
Nimeongea na wenzangu wengi bado sijaweza kuwa na kanzidata ya kutosha kabla ya kumrukia ki Gwajiboy.
Kuna habari kuwa serikalini walishapata Pfizer mapema tu.
Simwungi mkono Gwajiboy kuhamasisha watu wasichanjwe, ila kwenye kuchanjwa wakuu hawa Gwajiboy anaweza kuwa na point.
Cc: Jumbe Brown BAK
Mdude baada ya kutoka jela, unakumbuka alisema nini kwenye mkutano wa CHADEMA? Mbona yeye asikamatwe ila akamatwe Gwajima?..Tusi au kashfa siyo lazima mtu akwambie lile neno baya kwa mama zetu.
..Mimi nikisema wewe umefanya jambo fulani la hovyo wakati hujafanya jambo hilo bila shaka nitakuwa nimekutukana / nimekukashifu.
..Kama Gwajima amesema viongozi wamechomwa feki ili kuwachota wananchi, bila shaka amemaanisha viongozi ni waongo, wahuni, walarushwa, mafisadi, malaya, wauwaji, na sifa nyingine mbaya.
..MSISITIZO: Kama viongozi hawajachoma chanjo feki basi Gwajima amekashifu na kutukana.
Sawa jibwa kokoMbwa baba yako
Haya ndiyo madhara ya kuruhusu viongozi wa kidini wagombee nafasi za kisiasa. Lazima kuwe na mgongano wa maslahi. Kilichotakiwa ni kuwa kiongozi wa kidini akiamua kugombea nafasi za kisiasa anatakiwa ajiuzu uongozi wake abaki muumuni wa kawaida.Gwajima anatumia uhuru wake.
Mdude alisema wembe ule ule aliokuwa anamnyolea Magufuli ndiyo huo huo atamnyolea Samia. Kuna tusi gani hapo? Gwajima ametoa tuhuma mbaya sana kwa viongozi wa serikalina implication zake ni kubwa! Ina maana rais Samia anatapeli wananchi siyo?Mdude baada ya kutoka jela, unakumbuka alisema nini kwenye mkutano wa CHADEMA? Mbona yeye asikamatwe ila akamatwe Gwajima?
Acha uchochezi! Gwajima kamtaja kiongozi aliyefake Arusha, na ambaye anajulikana na serikali imemchukulia hatua. Unapotunga sentensi nusu ya alichoongea Gwajima ili wasioelewa wahitimishe alimsema Mkuu wa nchi ni ujinga tu wa akili yako.View attachment 1893352
"Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi. Inapofika mahali pa kuilinda Tanzania dhidi ya majanga, simuogopi mtu yeyote, siogopo kitu chochote hatuchanjwi"
Askofu Josephat Gwajima akizungumza kanisani kwake leo.!
My Take
Hii imevuka mipaka. Lakini mambo haya hayatokei bahati mbaya. Samia Suluhu umemuonea sana Mh.Mbowe acha upigwe tu mpaka utie akili.