#COVID19 Askofu Gwajima: Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi

#COVID19 Askofu Gwajima: Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi

Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Kwani mbowe ni mwislam mbona kapewa kesi ya ugaidi,kwahiyo tuseme wale mashekhe walioachiwa na Rais samia ni kwakuwa Rais nae mwislam?

Jw

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kitendo cha kuikashifu serikali kila kukicha kwa maamuzi yake maana yake ni kumkashifu kiongozi wake,kwani asiyetaka kuchanjwa ni yeye tu mbona hatusikii hizo kelele kutoka kwa wengine? Ana lake jambo huyo mbwa.
Unafikiri kutumia neno mbwa imekusaidia nini kwenye comment yako.

Sent from my Infinix X657C using JamiiForums mobile app
 
Ingawa Simuungi mkono Gwajima , lakini naunga mkono Uhuru was maoni kwa Kila mtu, tumwache atoe maoni yake
Ndo uhuru wenyewe tunaopigania, kama anayosema Yana ukweli yatathibitika ,ni swala la muda
 
Inawezekana gwajiboi ndiye Mathanzua
Wewe ni mjinga sana,hata jina halikutambulishi kwamba Mathanzua ni kabila gani.Mimi ni Mpare na Gwajima ni Msukuma,sasa Mpare na Msukuma wapi na wapi.Similarity yetu ni kwamba we all know the truth and are ready to talk about it.Yoda mbona iko wazi,C-19 is a Satanic agenda,period.
 
Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
maoni ya mkazi wa maKUNDUchi
 
Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Rais yupi hapo alietukanwaa we mujahidina?? Tumia akili kidogo hata ya elimu dunia jombaa..
 
Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Acha UPUUZI
 
We Mdini sana!

Leta data kwenye yafuatay:
Kwenye mawaziri waislam ni % ngapi?
makatibu wakuu waislam ni % ngapi?
Wakuu wa Mikoa waislam ni % ngapi?
Wakuu wa wilaya waislam ni % ngapi?
Wakurugenzi walioteuliwa majuzi waislam ni % ngapi?

Hivi hizi tabia za kujadili teuzi kwa kuangalia dini zao na sio taaluma na uwezo wao. Stupid mindset.
Bila shaka umekurupuka... Lakini katika kukurupuka huko still umesaidia kuweka mkazo kwenye ninachopinga na kusimamia...

Ninachokaripia na kuponda ni tetezi zinazoibua hisia za udini.. kuwa huyu kafanyiwa hivi au hajafanyiwa hivi sababu ya dini yake... Upuuzi wa aina hii ni wa kuupinga kwa nguvu zote... Hatuko kwenye tz ya namna hiyo asee.
 
Back
Top Bottom