mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Kachanjwe kwa hiari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mbowe ni mwislam mbona kapewa kesi ya ugaidi,kwahiyo tuseme wale mashekhe walioachiwa na Rais samia ni kwakuwa Rais nae mwislam?Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Unafikiri kutumia neno mbwa imekusaidia nini kwenye comment yako.Kitendo cha kuikashifu serikali kila kukicha kwa maamuzi yake maana yake ni kumkashifu kiongozi wake,kwani asiyetaka kuchanjwa ni yeye tu mbona hatusikii hizo kelele kutoka kwa wengine? Ana lake jambo huyo mbwa.
Mambo haya Rais kayavuta kwa kamba,sasa yanamtesa.hii nchi ni kama hatuna amir jesh mkuu,
dharau zimezidi sasa
Tuwekee na picha ya Mbowe akichanjwa!View attachment 1893501
View attachment 1893504
View attachment 1893506
..Je, hawa ndio waliodungwa feki?
Mbwa kupenda kubweka kijinga jinga kunamsaidia nini?Unafikiri kutumia neno mbwa imekusaidia nini kwenye comment yako.
Sent from my Infinix X657C using JamiiForums mobile app
Sawa, hongera sanaMbwa kupenda kubweka kijinga jinga kunamsaidia nini?
Kuna Dr. huko kwetu amechanja bila kupima afya yake amekufa!
Wewe ni mjinga sana,hata jina halikutambulishi kwamba Mathanzua ni kabila gani.Mimi ni Mpare na Gwajima ni Msukuma,sasa Mpare na Msukuma wapi na wapi.Similarity yetu ni kwamba we all know the truth and are ready to talk about it.Yoda mbona iko wazi,C-19 is a Satanic agenda,period.Inawezekana gwajiboi ndiye Mathanzua
maoni ya mkazi wa maKUNDUchiNchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Rais yupi hapo alietukanwaa we mujahidina?? Tumia akili kidogo hata ya elimu dunia jombaa..Nchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Acheni visa nyie( JF hamchoshi hata kidogo, ha ha haaaaa!)..Nadhani serikali " imechambuka-chambuka. "🤣
Wewe mbona hufi wanakufa ndugu zako tuuGwajima anatakiwa kuchukuliwa hatua za kinadhamu A.S.A.P .... Hawa sio wakuvumiliwa wakati huu kabisa . Watu tunapoteza ndugu zetu kila siku yeye anafanya utani aiseee....Mpumbavu mwili mzima .
Nimepata chanjo mimi mwaka huu mwanzoni.Wewe mbona hufi wanakufa ndugu zako tuu
😂😂😂Wewe mbona hufi wanakufa ndugu zako tuu
Acha UPUUZINchi ya ajabu sana, rais anatukanwa wazi wazi lakini kwa kuwa anayefanya hivyo ni askofu inachukuliwa poa tu lakini angekuwa sheikh au muislam tu tayari tungesikia kapewa kesi ya ugaidi au kapotea kabisa.
Bila shaka umekurupuka... Lakini katika kukurupuka huko still umesaidia kuweka mkazo kwenye ninachopinga na kusimamia...We Mdini sana!
Leta data kwenye yafuatay:
Kwenye mawaziri waislam ni % ngapi?
makatibu wakuu waislam ni % ngapi?
Wakuu wa Mikoa waislam ni % ngapi?
Wakuu wa wilaya waislam ni % ngapi?
Wakurugenzi walioteuliwa majuzi waislam ni % ngapi?
Hivi hizi tabia za kujadili teuzi kwa kuangalia dini zao na sio taaluma na uwezo wao. Stupid mindset.