PreGE2025 Askofu Gwajima: Ikatokea Abdul mtoto wa Mama Samia amechukuliwa kesho kaokotwa hana macho utajisikiaje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Pamoja na madhaifu yake...ana tabia ya kusema ukweli
 
Na hicho ndio kitu kibaya...mpaka watoto wataathirika na upumbavu huu
 
Yote kwa yote watajuana ila kwa wapenda haki tunafurahi kusikia sauti za watu wanao huzunika pia kwa yanayotokea

Hata manabii wa uongo na wapinga Kristo humtangaza Kristo bila kujua wakati mwingine
 
Watetezi wa wabakaji na mafisadi watakuja kumzodoa Askofu Gwajima
 
Huyo sio Muislam... Huyo ni Kada!
 
Wale wale tu,katumwa kupima upepo,huyu jamaa ni bingwa wa kusema uongo.Ndugu zangu paka ni yuleyule ila sura tofauti.Hapo ni baada ya kuona jirani wanashambulia sana kiti
 
Kwa kiwango cha upumbavu wako hujui hata lipi la kuamini na lipi si la kuamini mpaka uagizwe na ilani

Kwa hiyo mtu kukemea uovu tena kwa mifano dhahiri ya wakubwa hili nalo linahitaji kuamini?

Akheri ujinga wako huu usiwaambukize watoto
Ntakutag baada ya two weeks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…