Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni


Kwa nini hasa wanamymtaka Askofu Gwajima ajitokeze hadharani?

Kwani kuna Arrest Warrant iliyotolewa na Mamlaka yoyote ile ili Gwajima akamatwe??

Katiba ya nchi hii ya Tanzania ya Mwaka 1977 inatoa Uhuru na Haki kwa Mtu yoyote yule kuishi mahali popote pale katika nchi hii bila ya bughudha ya aina yoyote ile akimradi tu kwamba mtu huyo havunji Sheria za nchi
 
gwajima, kalikawe na huyo wa kurasini si ndio wakali wa uzinifu katika ukristo gentleman?

huyo wa kurasini kaongeza na ulevi.
kiufupi ni wote hao ni mawakala wa shetani πŸ’
Hongera sana,wakala wa Mungu.ubarikiwe kwa uliyosemaπŸ™πŸ™πŸ™
 
gwajima, kalikawe na huyo wa kurasini si ndio wakali wa uzinifu katika ukristo gentleman?

huyo wa kurasini kaongeza na ulevi.
kiufupi ni wote hao ni mawakala wa shetani πŸ’
Hongera sana wewe ni wakala wa Mungu na mbarikiwa kuliko watu wote.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Hongera sana wewe ni wakala wa Mungu na mbarikiwa kuliko watu wote.πŸ™πŸ™πŸ™
Baraka na Neema za Mungu ndani yangu zinaniwezesha kueleza ukweli mtupu daima hususan kuhusu hao mawakala wa shetani katika ukristo πŸ’
 
Baraka na Neema za Mungu ndani yangu zinaniwezesha kueleza ukweli mtupu daima hususan kuhusu hao mawakala wa shetani katika ukristo πŸ’
Kwa bahati mbaya usemayo siyo kweli,ni Mungu pekee ajuaye ni nani wake na nani siye.
 
Sema Basi tu ni udogo wa kufikiri mtu Kama gwajima ni mtu mhimu na wakusikilizwa Sana kwenye taifa hili

Namwona gwajima namwona kenge na namwona warioba hawa Wana mchango mkubwa Sana kima wazo kwa taifa letu

Na kingine SAMIA ANA PASWA KUJIFUNZA KWAMBA

MUNGU HAKUWA MJINGA KUMWACHA SHETANI HAI JAPO ANA UWEZO WA KUMPOTEZA
 
Mmh. Mtatiro mbona ni TISS kitambo, wanaweza tekana wenyewe?
 
Mkuu huu mnyukanonupo kwenye page ipi nikashiriki kuwabagaza hao machawa wa MAMA?!
 
Watanzania tuko nyuma sanaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…