Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 8,119
- 12,929
Usinichagulie ya x ya kuangalia. Mkono wa baunsa hamna kitu pale, hii ya msando na ile pichi ndio habari kamili na hajawahi kukanusa. Siwezi kuangalia x ya mtu aliyekana kuhusikahaya enjoy the videos na upate experience nzuri sana ya kunyandua ya mzinifu mwenye mkono wa baunsa gentleman π
Hilo nalifahamu vizuri sana kwa kuwa na mamako ana kaswende sugu aliyopata kwa Bishop!hakuna haja ya kua na mihemko na uropokaji gentleman,
Askofu mzinifu kuwaambukiza ukimwi waamini wake kwa makusudi, inasikitisha sana aise π
Kwani nani afanyi hivyo..Hivi Catherine Ruge alikosea nini?Kibatala ni Wakili msomi anaye jitambua na kusimamia Katiba na Sheria na misingi ya Haki za Bin-adamu wote.
Bila shaka vijana wa Samia, wameshamuua mtumishi wa Mungu.toka gwajima limevamiwa kanisa lake sijawahi kusikia sauti yake. na video nyingi zinazo trend mtandaoni ni zile za zamani, na hii sio kawaida gwajima ni muongeaji sana.
na hichi kimya sio bure
Hv uguse ndevu za amiri jeshi mkuu unategemea nini. Ingekuwa Rwanda angeshazikwatoka gwajima limevamiwa kanisa lake sijawahi kusikia sauti yake. na video nyingi zinazo trend mtandaoni ni zile za zamani, na hii sio kawaida gwajima ni muongeaji sana.
na hichi kimya sio bure
Jana usiku tulikuwa naye jimboni kwenye kikao cha faragha.. Yupo bukheri wa afyatoka gwajima limevamiwa kanisa lake sijawahi kusikia sauti yake. na video nyingi zinazo trend mtandaoni ni zile za zamani, na hii sio kawaida gwajima ni muongeaji sana.
na hichi kimya sio bure
Tatizo liko hapaMbona baba wa watu alisema kweli tena kweli tupu sasa kwanini asakamwe?
Kusema ukweli ni kosa? Ee Mola tusaidie tutoke ktk huu upofu ulioingia chini kwetu!
Sio kirahisi hivyoBila shaka vijana wa Samia, wameshamuua mtumishi wa Mungu.