johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bwashee unaujua umbali wa Dar es salaam to Kigoma lakini?mi nilijua wapinzani walikuwa wanatuchelewesha, sasa baada ya Mdee kutoka Kawe, serikali yw CCM vile vile haitimizi bajeti hahaha
mi nilijua wapinzani walikuwa wanatuchelewesha, sasa baada ya Mdee kutoka Kawe, serikali yw CCM vile vile haitimizi bajeti hahaha
Ambulance ya nini wakati anauwezo wa kufufua hata mtu akifa!!!!wana kawe ashawapeleka usa?? au anasubiri korona ipungu pungue kwanza kdg
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.mi nilijua wapinzani walikuwa wanatuchelewesha, sasa baada ya Mdee kutoka Kawe, serikali yw CCM vile vile haitimizi bajeti hahaha
Na kupeleka vijana Marekani.Yeye si alisema atawajengea lami kwa fedha yake....
Ova
Marekani waliomuahidi fedha wana Corona!Yeye si alisema atawajengea lami kwa fedha yake....
Ova
Neno kuchagua mnawapa lawama bure wananchi wakati kura ziliibwa, ukumwona Mdee na begi la kura?Mlimchagua mtu muuongo anayemdanganya hata mungu wake, alafu mtegemee afanye vya maana kama mbunge.
Rais wangu Magufuli naye anapenda sana kudanganywa, hebu tuangalie TEAM YAKE: GWAJIMA MBUNGE NA GWAJIMA WAZIRI WA AFYA, MAKONDA, POLEPOLE, BASHIRU, KABUDI, SIRRO nawe msomaji ongezea uwajuao.