Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Hivi ukiambiwa upungufu wa bajeti unaelewaje? Siyo kwamba zimejumuishwa hata hizo fedha za ndani unazoongelea hapa?Ndio, kutumia fedha za ndani!
Why are you so thick?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ukiambiwa upungufu wa bajeti unaelewaje? Siyo kwamba zimejumuishwa hata hizo fedha za ndani unazoongelea hapa?Ndio, kutumia fedha za ndani!
Zitaje mzee. Pengine kuna mwanafunzi wa Public Economy utampa majibu akikutana na hilo swali.Hii Nchi ni Tajiri, Na njia Ziko nyingi, lakini hakuna wenye mbinu za kuwafanya wananchi wawe Matajiri
Kupanga ni kuchagua.Hivi ukiambiwa upungufu wa bajeti unaelewaje? Siyo kwamba zimejumuishwa hata hizo fedha za ndani unazoongelea hapa?
Why are you so thick?
Ndio maana yake bwashee!Hizo km 1400 anamaanisha barabara kila mtaa kwa mtaa au?
Sasa kama ipo kwanini kuna upungufu?Kupanga ni kuchagua.
Kupungua bajeti ya barabara haimaanishi fedha hakuna.
Kupanga ni kuchagua!Sasa kama ipo kwanini kuna upungufu?
Unapanga na unachagua nini kama fedha ipo?Kupanga ni kuchagua!
Kipaumbele!Unapanga na unachagua nini kama fedha ipo?
Vipaumbele vinakuepo kama pesa hakuna.Kipaumbele!
Ulisoma Economics?Vipaumbele vinakuepo kama pesa hakuna.
Juzi juzi alitoa unabii akasema anaona wazungu wakipanga foleni kwenye balozi za Tanzania nje ya nchi kupigania nafasi ya kuja kuishi Tanzania kwani hakuna kuchanja corona wala hakuna corona. Huyu jamaa ni tapeli tu. Nenda Youtube utaona mahubiri yake.Wana Kawe ashawapeleka usa?? au anasubiri korona ipungu pungue kwanza kdg
Huyu anamtumikia shetani siyo Mungu.Huyu Gwajima wito wake ni kumtumikia Mungu huko alikoingia siko kabisa, kazi ya kuhubiri injili haijaisha anakimbilia siasa
Kawe itabaki ile ile tuMarekani waliomuahidi fedha wana Corona!
Ye mwenyewe kashindwa kujijengea kanisaUnadhani Kanisa linashindwa kujenga barabara?
Nenda Youtube uone vichekesho. Ameshageuka. Sasa hivi anasema masimamo wa Magufuli kwenye corona utafanya wamarekani wapange foleni kwenye ubalozi wa Tanzania huko kwao kwa nia ya kuomba visa za kuja kuishi Tanzania. Kwa kifupi amesema hakuna watanzania watakaokimbilia tena kwenda Ulaya na USA bali wao ndiyo watapigana vikumbo kuja kwetu.Na kupeleka vijana Marekani.
Duh litatumia njia zipi au atenga reli piaTreni lake liko njiani kwanza linakuja
Jamani huyu mtu ni tapeli kama matapeli wengine tu. Pale hakuna cha utumishi wa Mungu wala nini. Fedha za wajinga zinamstarehesha yeye na nyumba ndogo zake. Huyu jamaa anapenda sana wanawake na huwa anawashughulikia kweli kweli.Ye mwenyewe kashindwa kujijengea kanisa
Mbn wanasali chini ya banda tu
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mjanjajanja tu [emoji23][emoji23][emoji23]Jamani huyu mtu ni tapeli kama matapeli wengine tu. Pale hakuna cha utumishi wa Mungu wala nini. Fedha za wajinga zinamstarehesha yeye na nyumba ndogo zake. Huyu jamaa anapenda sana wanawake na huwa anawashughulikia kweli kweli.